Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba mnijuze vyuo vinavyotoa course za cheti na stashahada mkoani humo b'cause nina mdogo kapata Divi 3 ya 30
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi jf members? Kuna mdogo alihitimu form six mwaka jana lakni hakuaply chuo, mwaka huu anataka afanye application, faculty ambayo anapenda ni LAW (LLB), je TCU watamchagua kwa haya matokeo? NB...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
nimesikia kutoka kwa frnd anasema wametangaza kwenye redio,je ni kwel wametangaza hvyo au? SAMAHANINI KWA USUMBUFU
0 Reactions
2 Replies
1K Views
They call the Third World the lazy man’s purview; the sluggishly slothful and languorous prefecture. In this realm people are sleepy, dreamy, torpid, lethargic, and therefore indigent—totally...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Kwangu mimi naona Ardhi university ni chuo chenye course ambazo ni more marketable japo wengi hawazijui kama Land management,buildingbecinics,geomatics na archetecture
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Naomba msaada kwa anayejua au anayesoma bachelor tajwa nahitaji jua kuhusu upatikanaji wa ajira na kama ni kujiajiri naweza kujiajiri katika nini na vp kuhusu ushindani wakati wa udahili sababu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau. Nina mpango wa kuanza kusoma MBA mt. Meru university lakini mbona watu wanaponda saana hicho chuo? Kwani ukiwa na masters je inatofautishwa kwa chuo ulichosoma au?? Msaada jamani...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Salaam wana Jf, salaam sana. Nimekuwa nikijichanganya mazungumzo na wasomi wetu na kuangalia nyendo zao za sasa, nilichoambulia ni masikitiko tu. Hivi inakuaje mtu hadi anagraduate hajapata hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wenzangu wa jamii forum nadhani mpo salama naombeni mnisaidie kunipa muongozo wa kazi ninazo weza kupata na bs science degree ya IT na pay yake inaweza kurange vipi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni DVCAA wa chuo cha SAUT-Mwanza.Bila aibu katangaza mble ya sautso kuwa chuo hicho na chuo cha pili hapa nchini. Ni kwel?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni mwalimu wa shule ya sec , new niko Wilaya ya Busega .Kama kuna mtu anataka tubadilishane kutoka Wilaya ya Misungwi kwenda Wilaya ya Busega call 0719103278
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Samahani wakuu mim ni kijana niliye maliza form 4 mwaka jana 2013, sasa ninaipenda comb ya HGE napenda sana kusomea uchumi Sasa kulingana na matokeo yangu Mathematics nimepata F, vp ninaweza...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi GPA ya mwisho(unayoonekana kwenye cheti cha kuhitimu chuo) huwa wanachukua ya mwaka wa mwisho(wa nne/wa tatu) au huwa wanaanza kuhesabia kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho then wanatafuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Naomba kwa anayefahamu namna ya kuapply nafasi za ualimu grade iii A, Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Samahani wakuu mim ni kijana niliye maliza form 4 mwaka jana 2013, sasa ninaipenda comb ya HGE napenda sana kusomea uchumi Sasa kulingana na matokeo yangu Mathematics nimepata F, vp ninaweza...
0 Reactions
61 Replies
13K Views
Habari wakuu, naomba kujuzwa anayefahamu sehemu wanayotoa mafunzo ya kareti kwa hapa Dar es salaam, mimi naishi Tegeta, na kama sehemu ikipatikana naomba kujuzwa pia kiasi cha hela kinacholipwa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Hivi GPA ya mwisho(inayoonekana kwenye cheti cha kuhitimu chuo) huwa wanachukua ya mwaka wa mwisho(wa nne/wa tatu) au huwa wanaanza kuhesabia kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho then wanatafuta...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Walimu ajira mpya Sekondari Wilaya ya Mkinga, Tanga fedha za kujikimu kwa siku nne zilizobaki zitalipwa lini? Hali ya uchumi ngumu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nmesota sana mlimani miaka mitatu,nmepata kazi tena mbali na home cha ajabu nauli sijarudishiwa,hela ya kujikimu siku tatu, it doesn't sense kabisa.
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Wakuu tusaidiane hapa kdg, mm nna mishe za kusoma sjuit arusha campus coz ya B.ed kwa mwaka 2014-2015.Sasa sijui masomo wanaanzaga mwez wa ngap na nimeapply kutoka chuon kabisa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom