Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naongea hivi kama muhanga wa suala la ajira za uwalimu, tokea yatangazwe majina ya uwalimu ni wiki 3 ivi zimepita na wahusika wakuu ni tamisemi kama wizara husika.Baada yakutangazwa aya majina...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
ETI NI KWEL POST ZA KWENDA KIDATO CHA TANO ZIKO KARBU KUTOKA? na ni jinsi gan wizara ya elimu inafanya selection.wanatumia wakuu wa shule au computer ndo zinachagua electronically,nijuze wana-jf
0 Reactions
11 Replies
5K Views
kwanza posho ya kujikimu haieleweki mikoa baadhi wamepewa za siku saba na nauli zao kwingine wamepewa za siku tatu nauli hawajapewa jingine baadhi ya mikoa walimu ngazi ya shahada waliokuwa hawana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani msaada, Nimeshindwa kupokelewa katika halimashauri fulani (jina nalihifadhi) kisa sina transcript nami nina provisional results ambayo ina matokeo yoote mpaka Overall GPA. Wakati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana Jf anaeijua hii course anisaidie wap ina apply haswa?
0 Reactions
0 Replies
738 Views
mimi ni mwalimu wa shahada ajira mpya, nahitaji mwalimu wa kubadilishananae kituo. Npo bukoba manispaa. Mawasiliano yangu ni 0789152076
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toka mlivowapa pesa ya kujikim ya cku 4,cku ya tar 2/4 mpaka leo kimya,nauli zao hamjawapa na pesa yao ya cku 3...mnategemea waish vp hawa watumish wetu uku ugenin..?kuwen wastaarabu
0 Reactions
0 Replies
945 Views
kwa wale waliokuwa wanataka aplication form kwa ordinary diploma dar es saalam institute of science and technology waichukue hapo www.dit.ac.tz
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Heshima kwenu wadauu!nani ana details za kutosha kuhusu chuo tajwa hapo juu,hususan ktk utendaji kazi!kipo vizuri au majanga!?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mimi ni graduate Bsc. Education nafanya kazi part-time katika shule moja hapa Mwanza. Natafuta vijana wa O'Level na A'level wanaotaka tuition. Wahi nafasi ni chache. Nitafute: 0755 42 88 33
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ndani ya mwezi huu watu wanasema sana juu ya vijana wa kidato cha 6 kufanya mtihani mwezi wa pili,je'kuna ukweli hapo?msaada
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ni mashirika gani huwa yanatoa msaada wa madawati?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu wadau kama kuna mtu ana mawasiliano ya mkuu wa shule au mwalimu yeyote wa songe anisaidie ninashida nazo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau naomba mnisaidie kunitaarifu kama wahitimu wa kidato cha 6 wataenda jeshi baada ya mtihani wa mwisho
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina mdogowangu alipata div.four ya 40 Ana c yakiswahil d ya English f ya mathematics na e ya hist, na geog. Nisaidieni wazo asome nini nawapi? Jatakama ni intake yanext year nisawa. Kureseat...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhari mkuu wa sekondari Muganza ni tatizo nashauri afanyiwe special Audit na amekuwa kero nashauri ahamishwe
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu je, tuna wasomi wangapi wenye ngazi ya udaktari wa falsafa (PHD) nchini Tanzania? Vipi kuhusu idadi ya Maprofesa wako wangapi? Orodha hiyo ijumuishe hata wale...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
mi mgen jaman ,boom awamu ya 4 huwa ni lini kwa wale kaka zangu na dada zangu walio tangulia, maana ni mwendowa chai kwa mikate duh !
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za leo. Nimatumaini yangu kuwa wote hamjambo. Naomba mnisaidie sentensi katika kingereza nikitaka kuuliza yafuatayo Nataka kumuuliza baba yangu kuwa mimi ni wangapi kuzaliwa nitauliza je...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Back
Top Bottom