Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa wale mlio na ndoto za kusoma nje watembelee the global education link watakusaidia kuanzia kupata chuo,visa na hata mkopo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilikuwa mida ya saa nne asubuhi pale mwili wa marehemu jerome william pallanjo ulipoletwa freedom square ukipokewa na wanafunzi wenzake hasa wanadarasa lake la Bsc.agricultural economics n'...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Salaam zangu kwa wana wa jamii forum swali langu ni eti mhitimu wa kidato cha nne anaweza kwenda kusomea urubani yani kuanzia basic mpaka afike kiwango cha kuweza kufanya practical
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wanajamvi; naomba kuuliza kama TCU washaruhusu "application za vyuo" ili watu wafanye michakato.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najua huku wapo watu wenye kupata taarifa za uhakika,tafathal nijuzen ajira ya ualimu awamu ya pili yatatoka lini mana mwanzo nimekosekana,pls mwenye taarifa anijuze
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu naombeni mnipe info zaidi kuhusu ubora wa elimu inayotolewa, mazingira ya kusoma na ada zao zikoje mi nataka nipige dip ya clinical medicine Kwa matokeo yangu bios c chem c na phy d muda wa...
1 Reactions
22 Replies
20K Views
Wanajamvi mimi naish ukonga magereza!! Natafuta tuition za masomo physics,chem,math,..kwa anayeyajua maeneo ya karibu tafadhali anifahamishe.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa mtazamo wangu,elimu ya Tanzania sio elimu ya kujiajili mbali kuajiliwa hivyo basi hatuwezi kushindana na nchi mbali mbali katika nyanja ya maendeleo hususani katika sayansi na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
wakati walimu wengine wapya katika halmashauri nyingine kama ilemela,kigoma mjini,kakonko nk..wakiwa wamepew pesa ya kujikimu ya siku saba. Walimu wapya wa bukoba mjini wamepew pesa ya siku tano...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Niko chuoni mwaka wa3 nachukua BAED
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WIZARA YA AFYA JANA TAREHE 20/2/2012 IMETOA TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO MBALI MBALI NGAZI Tangazo la kozi za Afya - 2012 Page 1 JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII...
0 Reactions
28 Replies
90K Views
Hello guys wana jf naomba kupewa msaada kama kuna mtu anapafahamu kigoma-manicpal ya buhongwe mim ni mwl.nimepangwa huko kikazi kama kuna mwl.ameshareport huko please naomba tuwasiliane...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kunamtu yeyote ambaye anafahamu au anashughulikia masuala ya scholarship naomba anisaidie kwa kunipa maelekezo kupitia email yangu; aloycemsimbe@nokiamail.com
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Wizara ya Elimu Tanzania, imekuwa ikichimba kaburi la kuizikia elimu kwa muda mrefu sana! kwa kutosikiliza madai ya walimu, kutozipatia shule vitabu mujarabu vya kiada na ziada, kutokujenga...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali ni mbaya saana hususan kwa mwaka wa pili, course kama THT 453 na THT 454 mambo hayaeleweki,kama imefikia hatua ya kuchukua waalimu wa sekondari kufundisha chuo kikuu mbona majanga? kuna...
0 Reactions
78 Replies
10K Views
samahan wakuu anayemfahamu paul mwita mwl alikuwa kahama mara ya mwisho.unipm au 0788628489.
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Hi, wana Jamii Forum Natumainia wengi wetu tunaendelea na jukumu hili la ujengaji wa taifa. Kuna lugha zimekuwa zikitumika sana humu kwenye forum hii kwamba wale GRADUATE wenye first and upper...
0 Reactions
86 Replies
11K Views
E=35-44,D=45-54,C=55-64,B=65-74,A=75-84,A+=85-100.Kama nilivyokua nimesema ktk thread yangu ya awali kuwa alama "S" imefutwa.Lakin point za kujiunga vyuo vikuu zipo vilevile...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Walimu wa masomo yafuatayo wanaitajika kwa haraka sana. Civics , History , Geography,Kiswahili, Mathematics, Physics na Chemistry .Kituo cha kazi kipo manispaa ya Bukoba mkoani Kagera . Shule...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom