Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naombeni kuuliza utawala wa machifu ulikomeshwa Mwaka gani?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Waungwana embu niambie chuo gani bora kwa kufundisha production ya Tv na radio. Nipo Dar. Msaada wenu jaman
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
katika hali ya kushangaza mkuu wa chuo cha saut mwanza ameachia cheo hicho baada ya kuona wanafunzi nane wamefukuzwa chuo bila utaratibu wowote,sababu nyingine ni kuwatoza wanafunzi penalty ya...
1 Reactions
72 Replies
11K Views
leo,mnamo saa tano asubuhi, tume ya uchaguzi ilianza mchakato wa kuwapata wangombea wa kiti cha urais, katika serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastiani, mwenyekiti wa tume...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa qualifications za kujiunga grade A mwisho ni point ngapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Poleni wadau mdogo wangu ana4 ya pts 26 Necta 2012! Anataka asomee ualimu grade A chuo Cha private. so naomben anayejua chuo chochote cha private bac aniambie!
0 Reactions
15 Replies
15K Views
Wasomi ebu nisaidieni kwanza jibu la hilo swali hapo chini ikibidi npe na sababu kwa nn unafkiri jbu lako kuwa ni sahihi,,,,,,, She performed ___ the cultural programme that day. (a) on (b) at...
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Naomba kuuliza kwa wanaojua..hv unaweza ukachaguliwa combination ya CBG ikiwa BIOS na GEO umepata C then CHEMIA umepata D..msaada pls
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba mnijuze ada mwanafunzi anachangia bei gani baada ya mkopo. dogo anasoma hapo na hunipa bei mpya kila muhula . Kesha lipa laki 6 anadai bado 7. Ni kweli?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Njoo Mara Serengeti nije moro,iringa,NJOMBE.call 0763490332
0 Reactions
5 Replies
956 Views
Wadau naomba mnisaidie katika hili. Mwanangu ni amefeli kidato cha nne kapata daraja la nne na pointi 40,hataki kurudia (Kureset) sasa naumiza kichwa nimpeleke chuo gani aweze kujiendeleza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimepewa hela ya kujikimu siku tatu,nauli yangu sijarudishiwa,then watoto 250,mikondoA,B,C,D,E,majanga.
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Cku ya kwanza kuripoti afisa utumishi wa manispaa aliwaambia walimu wapya waliopangiwa shy manispaaa kwamba watapewa pesa ya cku 4,coz govt imetuma pesa nusu,wakapewa pesa ya cku 4 cku ya tar...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Naomba mtambue uwepo wangu hapa jukwaani..kwa sasa nimejirekebisha kiasi baada ya kuchezea supp za kutosha katika last semister exams.so kipindi hki ntakua mpole kwa kiasi flani.naomba ushirikiano...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Naomba mniambie wajuzi. Katk haya matokeo mnaona ninafaa kwenda kuendelea a-leval au chuo.. Na kama a-leval nikasome comb gani?.na kama ni chuo nikasomee nini? msaada please! civics-c...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Hawa necta vp
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani napenda kutoa ya moyoni kama kuna mwl. aliyepangwa mkoa wa Mtwara na anatoka NJOMBE/LUDEWA tubadilishane mie niende kwetu yeye aje LUDEWA, shule LUANA,KATA LUANA idara msing ni kama chache...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Home Politics and policy Politics and policy Search now starts for private varsities to tap State-funded students Share Bookmark Print...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar? naomba kuuliza eti TIA wamesha anza kutoa form za maombi kwa ngazi ya cheti? Pia kama tayari watu wameshaanza kurudisha hizo form?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"STANDARDS LEVEL THE PLAYING FIELD" Unapata picha gani juu ya hiyo nukuu hapo juu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom