Salaam jf..., naomba msaada wa kujua ukweli kuhusu hizi course zinatolewa na vyuo vya nje.Nimepata admission ya kusoma masters degree on line.Mwenye ufahamu zaidi anisaidie maswali haya yanayo ni...
Je wewe unasoma open university. Mzumbe university .udsm.ifm .Na je unamatatizo ya financial management na cost accounting.Basi mm nini mwl qualified ktk masomo hayo.Nina BBA accounting.MBA...
Wakuu habari zenu!
Kuna kijana amemaliza form 6 amekuja kuniomba ushauri kuwa asomee taaluma gani ambayo itamuwezesha kufanya kazi ikiwa mapato/malipo yanategemea na kujituma kwake/bidii...
Wana jukwaa naomba niwaulize mimi mdogo wangu alikua mgonjwa hivyo form iii akusoma vizuri alikua akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo hivyo basi amekosa namba shuleni kwao ya kufanyia mtahani mwaka...
Habar wakubwa!kuna taasisi 1 inaitwa KAPADIA FOUNDATION ipo marekani,mmiliki ni mhindi anaeishi USA,wanadai kuwa wanafadhili wanafunzi maskini kuanzia diploma na kuendelea,so anayeifaham a2juze...
Mwenyekujua scale za mishahara ya Tume ya vyuo vikuu, kuna ndugu yangu aliomba kazi hapo na sekta binafsi flani hajui aende wapi anauliza maslahi ya koja upande wa sekta binafsi keshajua bado huko...
Muhula wa kwanza wa masomo kwa kidato cha tano unaanza Julai. Lakini baadhi ya shule binafsi zimekwisha kufanya udahili, kudai kishika uchumba kinachofikia hadi shilingi 1,000,000 ambacho...
Wakuu nimetembelea baadhi ya vyuo, vimeshatoa matangazo ya watu kuapply lakin wanasema ni kupitia tcu, sasa ninachotaka kujua ni kuwa tcu wamesharuhusu watu kuanza kuapply? Msaada wenu tafadhali
Habari za jioni wanajamii forum, naombeni mnisaidie hili swali langu.
Modern education overemphasizes on cognitive learning theory over behavioural learning theory. discuss?
Ndugu yangu ana umri wa miaka 40, ameniomba ushauri wa kusoma, anataka kufanya mtihani wa six kama PC ili aende chuo kikuu. Kwa sasa yeye ni mjasiriamali na credit zake za O level ni hkl. Swali...
Ndugu walimu wenzangu nilikuwa napendekeza tupge sensa ni wangapi tumekosa hizi ajira ili kama ifikapo tar.25/4/2014 kama majina yetu yatakuwa hayajatoka tuweze kwenda moja kwa moja mpaka TAMISEMI...
Jamani mi nataka kujua eti mtu unapokuwa umeshasainisha barua zako za kubadilishana vituo pande zote kuna kibali unachoandikiwa na Ps wa DED kabla ya kwenda kwa RAS je kile kibali kile unapaswa...
Habar ya asubuh ndugu zangu.....jaman mwenye kufahamu kuhusu upatikanaji wa kazi ya ualimu ngazi ya stashahada na cheti(walimu wa vyuo hivi,government lakin)...anifahamishe tafadhali
Wakuu,kwa wale wanaojua kuhusiana na mitihani ya weledi ya bodi ya ugavi(procurements) naomba wanijuze,
-kwa mtu aliyeishia kidato cha nne na ana matokeo ya daraja la tatu anaanza kwa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.