wakuu habari zenu
Ni ivii waliomaliza vyuo vya afya private na kufaulu vizuri kama certificate ya pharmacy.
wakuu hawa wafamasia ajira zao wanapangiwa direct hospitali za kiserikali kama...
Wale waliosoma Makongoro sekondari kuanzia mwaka 1992 hadi 1995 tuwasiliane. Mfano Abel Tella,Kamese Makutano, Benta Mbunde, Pilly Oyuke, Monica Charles, Rhobi Chacha, Chobos Philip na wengineo.
za muda huu walimwengu wenzangu...naomba msaada wenu katika hli Suala.......eti between Bsc. Economics in PROJECT PLANNING MANAGEMENT(PPM) and Bachelor of Accounting and finance(BAF), which one is...
Wizara ya elimu imeanza kupokea maombi ya ualimu pasipo kufafanua mwisho wa ku2ma maombi. jaman tunaipeleka wap elimu ye2? naishauri wizara kuedit upya lile tangazo lao ili mambo yawe wazi...
wanafunzi wa shule tofauti za dsm zimechoka na tabia ya wanafunzi wa kisarawe secondary.Wanafunzi wa kisarawe wanazidi kuiba mabegi na nguo za wanafunzi walioenda kwenye easter conference ktk...
Kuna kozi za IT na Business za "NCC EDUCATION" zinazotolewa hapa Tanzania na vyuo kama IIT, Learnit na Institute of Management and Information Technology vyote vya jijini Dar.
Napenda hasa...
sijuwi kwanini walimu wetu wa ngazi zote hawathaminiwi kama wambunge na mawaziri wa nchi wakati tunasikia asilimia kubwa ya waajiriwa ni waalimu. Ila majeshi nao huthaminiwa xana tena xana, sasa...
kutokana na adha,mateso na manyanyaso tunayopata kudai pesa zetu za kujikimu walimu wote wapya msingi na sekondari halmashauri ya magu naomba tukutane jumanne ktk ofisi za halmashauri kupata...
Kisa ni imani za ushirikina na siasa chafu ndizo zimepelekea walimu kutimua wote baada ya kuchoka kuchapwa na kulimishwa usiku.Huku sababu nyingine zikiwa ni kuchochewa na wanasiasa hasa CCM.
Mwananchi, uk 2
:A S cry::A S cry::A S cry:Kuna mambo mengine yanafanyika Tanzania yanachekesha na pia kuuzunisha sana. Wanafunzi 50 wa UDSM walizuiwa jana kuhudhuria kongamano la katiba UDOM...
Habari zenu wanajamvi...heri ya Pasaka kwenu wote!
Leo napanda jukwaani nikiwa na shauku ya kujua,ipi iko vizuri kwa soko letu la ajira la tz...Master ya Business Administration au Master ya...
Je ni kwel form 4 leavers 2013 walopata div 1-3 hawatochaguliwa chuo hata kama ulichagua chuo? nimesikia kutoka kwa frnd anasema wametangaza kwenye redio,je ni kwel wametangaza hvyo au
Source Prof Mkandara
Leo Mkandara ameudhihirisha umma kuwa sasa UDSM wanatembeza bakuri cake wanayopewa haitoshi kutoka serikalini, mpaka sasa cake wanakula UDOM. hii imesababisha mgogoro mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.