Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

kuna jamaa walikuwa wana argue kwamba hii nchi na matatizo yake yote imetokana na Chuo kikongwe cha udsm kuzalisha wahitim wasio na viwango , kwa mfano 1. Watendaji wengi wa nyazifa za juu...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
kwa heshima na taadhima ningependa tuwe tunaulizana maswali na kupeana changamoto sisi vijana wa a-level ningependa kuaanza na ili swahili linatoka history one ktk topic ya level of development...
3 Reactions
36 Replies
9K Views
aris wana-ud wanakusubiri mbona kimya, ulituahidi mwezi huu unakuja please njoo ututoe presha wenzio usifanye kama alivyofanya MH370 wa maysia.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
CWT, ilianzishwa kwa nia njema ya kutetea na kudai maslahi ya walimu, lakini sasa viongozi wamesha poteza dira wamegeuza CWT kuwa chama cha kuwanyonya walimu na kutumia jasho la walimu kujengea...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI. Hii naona itasaidia...
1 Reactions
106 Replies
11K Views
kwenu wanadau, Nahitaji kuhudhuria trainings na seminers zinazohusiana na mambo ya mikopo na nyingine zinazohusiana na hizokwa yeyote mwenye ufahamu ni wapi nitapata mafunzo au ni nani hua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau ni kozi zipi ukichagua waweza pata udhamini wa serikali?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
habari zenu wadau, naomba mnisaidie kwa anaefahamu gharama za kusoma PGDE UDSM, ada zake kwa ujumla. nimeangalia kwenye web yao nimepata fomu tu. thanks.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
anayejua kuhusu hii naomba anielezee kwamba inatolewa na vyou gani hapa tanzania, na je mtu ukiwa nayo ni sawa na mtu mwenye degree ya kawaida ama vp au ina advantage/disadvantage gani ukicompare...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Juma kama moja limepita tangu Mh Rais kupewa schoralship kwa wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma fani zinazohusu mafuta katika chuo cha Aberdeen Scotland .swali langu je ni nani mwenye tetesi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari! Naomba kufahamu mfI inayotoa service zote kama saving, loans, insurance agency, banks agency, investments, e.t.c inaitwaje in one name. Asante sanaa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. OverspendingIf you have a ferocious appetite for spending beyond your means, you’re not alone. According to a survey, of the 52% of people who habitually overspend, many balance the shortfall...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Naomba msaada wenu wana jf kama title inavyoulza.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
ahsanteni. Mungu awabariki.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nahtaj mwlm wa kubadilishana (idara ya msingi) kutoka RUNGWE yy aje njombe mji, mawasiliano 0752994777, au 0786211333
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Kijana katika PCB ana phy-C,chem-C,bios-D,math-D, huyu A-level afya anasoma sasa why diploma clinical officer haimhusu msaada.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu naomba tujadili kwa upana juu ya matatizo kwenye sekta ya elimu kwa ujumla yanasababishwa na nini? na nini kifanyike ili tuweze kuyatatua hayo matatizo ,karibuni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nipo ndani sa ukumbi wa Bondeni ambapo kuna uchaguzi wa CHADEMA SAUT unaendelea sasa na mpaka sasa makamanda wanaendelea kunadi sera zao.wagombea wanaendelea kunadi sera zao ili wachaguliwe...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
sisi wananchi wa igoma ambapo shule hii ya igoma sekondary inapatikana tunaomba afisa elimu wa secondary ajaribu kufuatilia mambo yanayofanywa na mkuu wa shule hiyo husika. mkuu huyu haelewani na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Which is the best combination btn HGL and HKL,na hata kama mtu asipo chaguliwa A level,anaweza akakomaa na mishe gan tofaut na uwalim! Em nisaidien wadau.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom