Kwema wadau?
Jamani mimi nlikuwa napitia web ya heslb kuangalia sifa za waombaji wa mkopo nikakutana na hayo maneno. Kwamba muombaji atafanyiwa "means testing" sikuelewa hembu nisaidieni...
Ndugu Wapendwa naomba msaada wa kujua namna ya kuanza kuomba chuo na mkopo ni kuanzia mwezi gani?maana mimi nina diploma nahitaji niweze kujiunga na vyuo kwa mwaka wa masomo 2014/2015!
Ili tatizo bado linanisumbua sana mwenye mbinu ya kuniwezesha kuijua hii lugha kwa haraka naomba anisaidie maana mazingira niliyopo yananilazimisha kutumia hii lugha muda mrefu sana.
Habari wana jf
Nadhani kila mtu ambaye yupo hapa u mzima kiafya nina swali dogo sana ambalo huwa najiuliza sipati jibu kila wakati ndio maana nimeamua kuleta huku ili mutoe maoni
"NIKWAMBA KUOA...
hv watu kama hawa inakuwa ni kwa sababu ya uwezo wao mungu alivyowajalia au nini sababu? Maana nina ndugu yngu anapiga msuli vbaya sana lkn akipiga paper majibu holaa sasa tatizo ni nini hasa
UJUMBE WANGU KWAKO UNAVOELEKEA KUANZA MAISHA MAPYA YA UTUMISHI KWENYE JAMII YA WATU:-
1)ucjifanye unajua kuliko walimu ulio wakuta
2)ucjifanye ww ni bora kuliko jamii inayo kuzunguka
3)epuka...
Nlikua nataka kujua kama umesoma private o level na ukatoka na one saafi A level ukaenda private comb mfano EGM ukatoka na one tena eti kupata mkopo hapo chuo inawezekana? Au ina depend na kozi...
Ndugu wana Jf ninaandika makala hii kwa uchungu na masikitiko makubwa, wakati wa utawala wa mwalimu Nyerere viongozi walikuwa wadilifu na walionyesha uzalendo wa hali ya juu. kila kiongozi aliye...
Chuo Kikuu cha Mt Augustine (SAUT)mwanza, kimewasimamisha masoma kwa 2013/2014 wanafunzi nane wa idara mbalimbali!!
Wamesimamishwa kwa sababu walikamatwa wanadesa,wanamizola au wanatumia an...
Kiukwel hali ni mbaya sana kwa walimu wa sayansi kwanza idadi yao ni ndogo sana ukilinganisha na hawa wa art na makazin pia hawapo kias kwamba hal ni mbaya sana.Mwl mwenye vipindi vichache anavyo...
Jamani hivi ubora wa chuo unapimwa kwa wanafunzi wengi kudisco au kwa wanafunzi wengi kufanya vizuri? Kama ubora wa chuo ni matokeo ya wanafunzi wengi kudisco then inakuwaje shule za sekondari...
mambo vp jf members? i hope wote wazima kwa jf members waliosoma mkoani iringa shule ya sekondari LUGALO tufahamiane kupitia huu uzi tafadhali hata kama ukusoma lugalo lakini ulisoma shule...
1.kodi ya chumba cha kawaida- 50000/= kwa mwezi
2.maji ndoo moja lita20 -200/= hadi 500/=
3.umeme 15000/= kwa mwezi
4.dar es salaam kuna joto sana
5.kwa mshahara wa mwalimu,ni vigumu kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.