Naona tumetawala karibia ktk majukwaa yote.Ila walimu wapya wa ILALA,nawataarifu kuwa hapa huwa hatupewi vitambulisho vya kazi.Nilipoanza kaz nikawauliza walimu wakongwe,wakasema hata wao hawajui.
Msaada kwa anayejua wapi kuna chuo cha Muziki kama kupiga keyboard, gitaa, drums, na vyote vinavyohusu muziki. Vilevile napenda kujua ada ni kiasi gani, muda, na eneo chuo kilipo.
Asanteni
Habari ndugu walimu wapya, ikiwa leo ndio siku ya kwanza ya kuripoti katika wilaya uliyopangiwa, tuambie ni changamoto au matatizo yapi umekumbana nayo wakati huu wa kuripoti? Karibuni ndugu walimu
Heshima kwenu wana jamvi.
Kama mnavyojua kuwa jumapili iliyopita serikali kupitia wizara ya TAMISEMI ilitangaza ajira kwa walimu.lakini kuna watu waliokosa ajira.
Mwanzo wa wiki hii kuna watu...
Tunaom ba mumkumbushe mkurugenzi na afisaelimu kuwa, walimu wa halmashauri ya manispaa ya Ilala hatuna vitambulisho vya kazi. Tokea tulipopewa vitambulisho vya muda, sasa ni miaka imepita bado...
Wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya BINAFSI,,nikagundua kwamba wanagraduate na G.P.A kubwa sana yaani unakuta G.P.A kubwa zimejaa sana ! ! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya PRIVATE...
wanajf naomba mnijuze kuhusu hili, maana ninachofahamu ni kuwa yule anayesoma chemistry katika ngazi hiyo anawezafanya kazi viwandani, lakini huyu wa physics napata shida au ndio mpaka isomwe na...
Ninamatarajio ya Kufanya tena Mtihani wa Kidato cha 6 Mwakani 2015
Kwani nlifanya kama School Candidate mwaka 2011,Katika Comb Subject Nlikuwa na Matokeo haya (H-S K-S L-S) pamoja na GS-S.
Kwa...
Inakuaaaaaaaajeeeeee!
Asee vyuo vingi hapa tz nimefanya tathmini nimegundua tatzo kubwa la collegeous wengi ku supp ni kufelishwa maksudi kwa sababu ya mkwanja mnene unaotolewa na wanachuo ili...
Jamani naomba kufahamishwa tangazo la kutuma maombo nafasi za masomo wizara ya afya kwa waliomaliza kidato cha nne linatoka lini maana naona mda unazidi kuyoyoma!
Habari wakuu..!
Ni mgeni katika jukwaaa hili but ni mwenyeji katka JF. Nipo mwaka wa 3 B.A mass com.. nakabiliwa na wakati mgumu kama niendelee au niahirishe huu mwaka wa masomo kwani hadi sasa...
Wanajukwaa nilipokuwa ninaambiwa halmashauri zetu hasa za mijini zimejaa viongozi wezi, wadokozi wasio na huruma nilibisha. walimu wengi wanalalamika ela zao za kujikimu kuchakachuliwa na maafisa...
Je, ungepepnda kujifunza kuimba kama pro?
Kama unamaswali kuhusu sauti yako na kuimba, na ungependa nikusaidie, nina CD na video maalum nimetengeneza (tembelea Joett's Music Blog) kwa ajili yako...
Nijuavyo mimi mwajiriwa mpya unapoanza kazi unapewa subsistence allowance kulingana na marital status. Kama umeoa au kuolewa na una watoto unapewa ya kwako na ya mwenzi wako. Nasema hivi kutokana...
Kiujumla katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wakimu wapya wengi wameripoti.Zoezi la kujaza fomu limefanyika bila matatizo ila DOLA YA KIMAREKANI eti hadi kesho tena kwa kuiandikia barua mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.