Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Helow wana'JF...nilikua naomba mawazo yenu juu ya kuendelea na kozi ya Clinical Officer,kwan sasa n nwanafunz kwa ngaz ya cheti( Clinical Assistant), je kuna chuo kinacho pokea ili ni'upgrade!? Na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mm n mwanafnz wa advance form five Nahitaj kufaham kwamba napenda kusoma kombi ya EGM lakin swal langu n kwamba naweza kusoma kombi ioo na badae nikawa RUBAN naomben msaada wenu tafadhal
0 Reactions
4 Replies
2K Views
samahani naomba kubadilishana kituo mimi niko musoma vijijini kemoramba sec nataka mtu yeyote wa kuja huku mimi nirudi mbeya, mbozi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
polen na majukumu wakuu..Kwa anaye fahamu tafadhali naomba anifahamishe kuhusu chuo cha lugalo cha afya dar ni private au serikali?application form lini znatoka ada na vigezo.vya kujiunga na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mimi mwalimu wa shule ya msingi manispaa ya songea natafuta mwalimu wa kukubadilishana nae kuja songea-ruvuma yeye awe anatokea mkoa wa shinyanga wilaya yeyote ile kwa mawasilano zaidi tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu mwenye MBA-FINACE anaanza na 'level' gani katika mitihani ya bodi ya uhasibu NBAA? Naomba ufafanuzi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nasikia eti kidato cha sita wanaomaliza mwaka huu hawatajiunga na jeshi la kujenga Taifa(JKT),je,ni kweli?.
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Natumai ni wazma wa afya ndugu zang, wakuu nilikua naomba msaada wenu wa kimawazo nina mdogo wang amemaliza form four mwaka jana na matokeo yao haya yaliotoka mwaka huu, sasa yeye amepata iv ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyakazi serikalini ni mwalimu, nina Degree ya BBA nifanyaje kupata sponsorship kusoma MBA Nje ya Nchi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kilombero wanalipa 30,000 kwa siku kama fedha ya kujikimu kwa walimu wapya. Hela yenyewe wanalipa za siku tatu tu eti nyingine baadae.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapo baadhi ya maofisa halmashauri mbalimbali hapa nchini ambao huendekeza rushwa za ngono katika kutoa huduma kwa walimu na watumishi wengine wa kike wanoanza kazi kwa mara ya kwanza au kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
waalimu wa moshi vijijini wanaomba kuiuliza serikali kuwa wao ni tofauti na waalimu wengine Tanzania? mbona wanafanyiwa hivi? wananyanyasika sana kutoka kwenye idara zao za elimu, tsd, na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jambo hili kiukweli linawakatisha tamaa sana waalimu hawa waliosahaulika toka nchi hii imepata uhuru. Awali ilitangazwa kwamba tayari zimeshafika pesa zote za kujikimu za waalimu katika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hela ya mwalimu kujikimu kwa wilaya ya sumbawanga vijijini tumeambiwa ni shahada= elfu 35@day dip&cert= elfu 25@day je ni sahihi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwaka 2012 nilipata post ya ualimu mkoani kagera. Lakini sikwenda kuripoti kutokana na mkataba niliokuwa nao kwenye kampuni nyingine binafsi. Nimemaliza mkataba na nahitaji kurudi tena kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiujumla katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera waliimu wapya wengi wameripoti.Zoezi la kujaza fomu limefanyika bila matatizo ila DOLA YA KIMAREKANI eti hadi kesho tena kwa kuiandikia barua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ualimu ajira mpya, mwenye uelewa na wilaya hiyo tafadhali anijuze ..
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Wana JF kwa yeyote anayejua kuhusu chuo cha TRACDI dodoma anijuze 1:ada 2:vgezo vya ufaul vnavohitajika 3:muda wa kujiunga. nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari wakuu.napenda kujuzwa kuhusu udahili kwa mfumo wa RPL mwaka huu wa2014 utafanyika mwezi na tarehe gani?nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu Jf members, Mm ni kijana (me) , kuna mama mmoja jirani yngu age within 40-45yrs na bint yake tulimaliza nae chuo mwaka juz, so huyu mama nakama my mumy. Kinachonishangaza ni kwamba...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom