Msibabaishwe na tetesi za watu wanaojisikia kupost chochote afikiriacho, kwani hata kama akiandika uongo na kupotosha jamii ajira zenu ziko palepale, watu kama hao hawakosi ktk jamii.
Ni haki ya...
Habari wana ukumbi!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiliona tatizo/changamoto hii ya upungufu wa "academic papers" katika "international journals" mbalimbali kwa upande wa wasomi wa Tanzania. Kwa kifupi...
samahan wandugu..nlikuwa naomba mwenye kujua shule nzur ya private kwenye combination ya EGM mkoa wa kilimanjaro anisaidie kuweka majina ya hzo shule apa na kama unajua na ada yake kwa mwaka...
Bhandugu naomba kujuzwa mwezi ambao vyuo tajwa hapo juu vtaanza masomo rasmi(2014/2015)na ada zao bila kujumlisha fedha ya chkula na malazi.coz nmechek ktk web zao lkn ckuona!!NAZUNGUMZIA DIPLOMA
Habari za leo wanajamiiforum,
Nina shost yupo nchi za ughaibuni, anataka kusoma kati ya unesi au medical laboratories.
Ila bidada anataka akisha soma arudi zake bongo kufanya kazi. Mimi kwa...
wanajamvi mie naulizia mahali pa tuition center masomo ya physics, chemistry na hesabu kwa kidato cha tano ( kwa Mwanza) mwenye kujua vituo hivyo vilipo huko mwanza tusaidiane ili nimpeleke ndugu...
kama ulikuwa na tatizo lolote sup nk na haukugraduate ukwelu ni kwamba ajira hizi mpya mwaka huu wamebana wale wenye sup sijui nini hawapo andaa kuopokea maumivu.
Vijana tusiwe na ugonjwa wa fikra duni, ni jambo la kipumbavu wewe kama kijana unayejiita msomi na unae tegemewa na jamii yako, kuanza kuvibagua vyuo vingine kwamba si vyuo bali ni taasisi za...
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Jukwaa la Taasisi na Mamlaka zinazosimamia na Kudhibiti Ubora wa Elimu Tanzania, zimeanzisha mfumo mpya...
Hii ni social forum, watu wanasoma kwa kupata habari mbali mbali, wengi hawana mda wa kukaa sana kwenye hizi social forum.
Kwa hiyo kama unadhani thread yako ni ndefu, basi jaribu kutumia...
source www.tcu.go.tz
Applications for Admissioninto Higher Education Institutions through the Central Admission System (CAS)for academic year 2013/2014 TanzaniaCommission for Universities (TCU)...
Habari zenu great thinkers,natumaini ni wazima japo mwenzenu siku yangu imeingia nyongo kwa kiasi kikubwa
Naandika huu uzi Kwa masikitiko makubwa sana kwa kweli.Nikiwa nahisi kudharauliwa wakati...
Habari za leo ndg zangu?
Nawaombeni yeyote mwenye kujua vyuo vya ualimu vinavyotoa certificate ya SPECIAL NEED EDUCATION kwa hapa Dar, Pwani na Tanga anijuze kwa jina na vinapopatikana.
Another beautiful week!!
Elimu yetu inazidi kuporomoka sana hasa kwa shule za sekondari, watawala wameamua kufanya siasa katika elimu yetu, matokeo yake vijana wanaofika vyuo vikuu wanakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.