Hii ni kutokana na asilimia kubwa ya wahitimu wa sjut-dom(ualimu)majina yao kutokujitokeza kwenye orodha ya walimu wapya walioajiriwa 2013-2014.Tafadhali lijibuni hili.
Kuna baadhi ya walimu wa stashahada na shahada ambao hawajayaona majina yao kwenye orodha iliyo tangazwa jana mnatakiw kusubiri awamu ya pili ya ajira ambayo itatoka mwezi may baada ya taarifa za...
Habari wana JF,hongereni sana kwa wale waalimu waliopata ajira mpya,Mungu awaongoze mnapoenda kulijenga taifa.
Nilikua muajiriwa serikalini lakini niliondoka 2012 na kwenda taasisi flan,Mwaka...
HI Wadau nlikuwa naitaji kuchukua TOEFL(TEST OF ENGLISH AS FOREIGN LANGUAGE) niangalie mchakato wa kuongeza elimu nje kidogo,mwenye uelew tafadhali aniiuze
Ualimu kama kazi nyingine nikazi inayoitaji uvumilivu kujituma na uwezo wa kukabili maudhi pale yanapokukumba: Lakini ualimu unatia fola hususani ni kwa kua na changamoto nyingi mfano
1:Ugeni na...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14
Jumla ya Walimu wapya 36,021...
Mimi ni mwanafunzi wa diploma kuna tetesi nimesikia kwamba ukimaliza diploma kuna uwezakano wa kusoma postgraduate bila kusoma bachelor degree kama umefaulu vizuri.Naombeni mnipe information vizuri
Talented brothers Academy ni center inayotoa mafunzo kwa QT,Re-sitters,Pre-form five,paoja na form 6.Tunatangazakutakuwa na Solving,exams,na mafunzo kwa vidato vyote kwa somo la geography chini ya...
Darasa linalotumika kufundishia wanafunzi, likiwa halina dawati hata moja jambo linalosadikiwa kuwa wanafunzi wanakaa juu ya mawe
KWA UFUPI
Baadhi ya wanafunzi wanasema hali hiyo inatokana na...
Habari ya mda huu ndugu walimu.
Tovuti ya TAMISEMI inafunguka mda huu lakini haina jipya. Kwa wale ambao mtaendelea kukesha mtatutaarifu nini kinaendelea.
Wadau naomba kujua mshahara wa mwalimu wa a level physics shule za seminary ,wiki iliyopita nimepigiwa simu na kiongozi mmoja wa shule ya seminary kaskazini niende tuongee ikiwezekana nianze kazi...
Ndugu wana JF,,
Naomba kupata msaada wenu kuhusu vyuo vya serikali vinavyotoa diproma ya afya(Crinical Officer) hapa Tanzania.Kuhusu ufahulu wangu nilimaliza form six mwaka jana nina div (ii) ya...
Habari ndugu wana jf.
Toka enzi za baba wa taifa watu walikuwa wakiiamini serikali na kuona serikali ndio chanzo chao kikuu cha habari, lakini kutokana na sijui niite uzembe/ukosefu wa uadilifu...
IFIKE mahala siasa kama taaluma iwe na mipaka yake. Haiwezekani kuingiza siasa mpaka kwenye masuala nyeti ambayo ndiyo dira ya TAIFA! Hivi viongozi wetu ktk serikali mnawaza nini kuhusu ajira mpya...
Walimu wenzangu tukae mkao wa kula mda si mrefu mambo yatakua poa, ila nashauri tupige kazi kozi tuna dhima kubwa sana kwa Allah{sw} muumba.hii ni kutokana kuwa ualimu ulianzia kwa mitume wetu...
Enyi ndugu zangu walimu kama ambavyo ipo info' hiyo kwamba kesho tarehe 15 ndo ajira zawalimu zitatangazwa so wasiwas wangu ikipita siku ya kesho pasipo kutangazwa itakuwaje ? kwani vichwa vingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.