Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

jamani naombeni nifanyeje nipata kurudi xkul nilihitimu kidato cha 4 2008 nikashindwa kuendelea kutokana na kukosa karo ya shule
0 Reactions
39 Replies
13K Views
Ntafute kama hujapangwa hata kama Una sup. niPM
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Naomba kufahamu ni lini wizara itatangaza hayo majina wakuu!! Natanguliza shukrani,.
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Wadau naomben msaada shule ipi ya private ambayo ni nzuri ina combinationa ya P.G.M??? Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa anayejua taratibu za kujiunga machame cotc anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Ni mwanamke ninayempenda sana na nishapeleka kishika uchumba kwao,tatizo ni kuwa yeye kapangwa wilaya ya KAHAMA,mi nimepangwa wilaya ya NJOMBE,mwenye ushauri anishauri nifanye nini ili tuwe...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
WANA JAMIIFORUM...... NAPENDA KUWAJULISHA KUWA TUNAPANGA KUTOA COURSE FUPI ON BODY LANGUAGE. WEWE KAMA NI MWALIMU/LECTURER, MWANA MUZIKI, MFANYABIASHARA, MWANASIASA, AU MTU AWAE YOTE NI MUHIMU...
0 Reactions
1 Replies
769 Views
jamani kuna rafiki yangu mmoja anataka kujiunga na vyuo vya kilimo kakini hajui jinsi ya kuweza kufanya hvyo pamoja na qualification vyuo vya serikali msaada jaman <thanx>
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Kwa anaye fahamu kuhusu chuo cha madini Dodoma(MRI) naomba anijuze.
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Please wadau wale walioishi, kusoma au uzoefu na hizi nchi mbili India and Malaysia naombwa kujuzwa kuhusu vyou vizuri i mean vinavyotambulika kwa course ya udactari wa medicine na cha bei ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani wana JF, ninataka kuweka malengo ninasoma Bachelor of Education BEd nimewaza kusoma MA in International relation ina market kwenye soko laAjira?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa anayefahamu anisaidie,hiv gredi zitakazotumika sasa hivi f6 ni km zile za kidato cha 4 au kuna utaratibu gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani hivi mzumbe wanaona sisi huku Arusha hatuwezi soma hivyo vyuo vyao...tunahitaji masters za evening hapa Arusha jamani tunateseka na project management...kwa nini hawafungui tawi bwana
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Habar yenu wakuu humu jf nakuja na kuulza kwa wazoefu na vyuo vya techniqual college kama mist, na dit hv n kwel huwa wanarudisha wanafunzi nyumbani na n kwa mambo gan yanayosababisha hlo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only God knows it.
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Maendeleo ya nchi na jamii yeyote hutegemeana na kipaumbele katika taaluma ya ualimu. Hu ni ukweli usiokubalika kwa nchi nyingi za kiafrika lakini kwa nchi zilizo endelea kama Marekani na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
uesday, March 18, 2014 Tablet replaces dusty chalk in class 0...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kutoa taarifa hii kwa TAMISEMI kwamba mpaka wakati hatujui kwanini majina yetu hayaonekani kwenye orodha, au kuna mengine bado hayajatolewa?wadau mwenye inf. naomba atujuze humu jf.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nimemshangaa jamaa mmoja tukiwa kwenye dalalada la ubungo gongo la mboto kavua shati la rangi ya kijani kwa madai kwamba anaogopa kupigwa na wapinzani wa ccm kwakuwa kavaa rangi ya kijani kila...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Back
Top Bottom