habari za jioni na kheri ya mwaka mpya. mimi ni mwanafunzi nimemaliza muccobs diploma ya accounts nina GPA ya 2.4 or grade C. Nilikuwa naomba ushauri ni chuo gani kitanipokea kwenda bachelor na...
Ndugu wanajamvi naomba kujuzwa juu ya chuo nachoweza soma post graduate diploma of law na sifa stahiki za kujiunga na kozi hiyo. Na je,kozi hiyo inaweza kunifanya kuwa wakili wa...
siasa ya TZ yaandaa shimo la kuizika elimu kama ;
1.kufutwa kwa somo la sayansi kilimo kwa shule za msingi hali kilimo ndo uti wa mgongo wa nchi yetu.
2.kuondolewa kwa sayansi kimu hali ndo...
Wanajamvi kuna mhitimu wa chuo cha ualimu mpuguso mkoani mbeya anasema vyeti vyao vya form four na ualimu grade A vimepotea. Sasa wanatakiwa kulipa laki tano ili vikachapwe baraza tena eti...
Ngono; sifa mpya inayotawala vyuo Hali kwa ujumla ni mbaya hasa katika baadhi ya vyuo. Rushwa ya ngono iko juu mno kiasi cha kukatisha tamaa. Mwalimu akimtaka mwanafunzi na akakataa, basi...
Wakuu natumaini mpo wazima na kuendelea kufanya vzr ktk shughuli za kujinge Taifa letuu, naam nilikuwa na tatizo nililoshindwa kuelewa kbs japokuwa nimejaribu kufanya utafiti sehemu mbl mbl but...
Nna ndugu angu alkosa mkopo kutoka hslb so naomba anaejua shirika tajwa aweze nifamisha ili tuweze okoa jahazi kwa mwanafunzi anaesoma kwa shida sana hapate kusaidiwa. Nashukuru sana kwa kunisikiliza
DKT Hamisi Kigwangalla atakuwa Kesho Mwanza Kuanzia Saa 4 asubuhi kwa Ajili ya Mdahalo na wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Agustino Nyegezi Mwanza,
Mada ni :-
MAPINDUZI YA MARA YA PILI AFRICA:-...
NGOTE AND NGAIZA TUITION CENTRE.
Pre-form five program DSM-kariakoo-Mchikichini.
_______________________
Advance- Chemistry, Physics, Mathematics and Biology.
______________________
WALENGWA-...
Hivi wanajanvi chuo kikuu cha Dodoma ni cha serikali au cha mtu binafsi? Maana miaka mitatu mfululizo wanafunzi wanao hitimu UDOM wanadhulumiwa pesa za majoho. Tangu 2011-2013. Mwaka jana...
TANGAZO LA SKOLASHIPU ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI YA INDONESIA KWA TANZANI
A KWA MWAKA 2014/2015
Serikali ya Tanzania imepokea mwaliko wa Skolashipu kutoka...
NGOTE AND NGAIZA TUITION CENTRE.
Pre-form five program DSM-kariakoo-Mchikichini.
_______________________
Advance- Chemistry, Physics, Mathematics and Biology.
______________________
WALENGWA-...
Wana JF, mimi ni mwajiriwa wa serikali! Nina mkopo wa tpb tangu mwaka jana, mikopo ambayo waajiriwa hudhaminiwa na mwajiri! Mwaka huu nataka niende kufanya Msc (ughaibuni), kwa mazingira ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.