Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Je kwa matokeo yangu haya naweza pata diploma ya Co ? O'level results Math-B Chem-B Phys-C Bio-C Civ-B Eng-C Hist-B KISW-C GEO-C A'level results bios-E Chem-E Geo-D Bam-s Gs-f...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
salaam wanajamiiforum. Kwa mtanzania yoyote anayemtafutia mtoto wake au ndugu yake au rafiki yake shule ya kuhamia au kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2014.wasiliana na muhusika kwa namba hii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu Salama ! ! Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata nafasi ya kusoma mwanangu Day School maeneo MJINI, UPANGA, KARIAKOO, au hata jirani mradi kuwepo na usafiri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Je unawezaje kupata kazi ya kuwa mkufunzi katika chuo? Maana ni moja kati ya kazi ninayopenda.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi m2 wa 7 pamoja na waalimu wawili wananiambia leo kunalolote laweza kutokea, (kutangazwa kwa ajira mpya) kunaukwel wowote kuhusina na hilo? mwenye taarifa bac
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba kufahamishwa vyuo vinavyotoa elimu kwa njia ya masafa (distancelearning/onlinelearning) kwa hapa tanzania course yoyote. NATANGULIZA SHUKRANI
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Naomba kujua kama hizi post za walimu zitakazo toka hivi karibu watu wa PGDE nao watakuwepo? au la?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tangazo ambalo nimekumbana nalo leo ofisini ni kua kutokana na uhaba sugu wa walimu wa sayansi basi imekuja na mpango wa miezi mitatu wa kutrain watu waliosoma masomo yote ya sayansi na hesabu na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau kunataarifa nimeidaka kuwa aliyewahi kuwa mkuu Wa chuo na makamu Wake wamekamatwa tokea asubuhi wapi lupango. Habari zaidi zinasema ni kutokana na ubadhirfu walioufanya kipindi cha uongozi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jaman walim na wanaojua sis wanafunz wa kdato cha nne 2013 tunarushwa roho kuwa yatatoka mwnz wa 2 wengne wanasma mwnz wa tano tufumbuen basi msaada plz
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Naomba kufahamishwa ipi ni nzuri kusoma kulingana na soko la ajira la sasa na hata kujiajili pia.Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natanguliza salamu kwanza! jamani kwa anaye jua chuo cha muvumi clinical science kilichopo dodoma naomba mnisaidie au mnitupie webu yao.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa wana JF Mwenzenu natatanika kuhusu usomi, Usomi ni nini??? Bosi wangu ana degree tatu(5) na Masters tano (5) sasa sijui ndo nimuite msomi au nimuiteje maana ni bora angekuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataka kujua kama Ikulu ni ofisi ya rais au ni makazi ya rais
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Mimi ni mwanachuo nasoma journalism ngaz ya cheti naomba mnijuze kiwango cha mshahara cha mtangazaji na fursa za ajira
0 Reactions
0 Replies
3K Views
leo siku ya tatu toka wanafunzi wa chuo cha mtakatifu joseph kilichoko mkoani ruvuma mkuu wa wilaya ajikanyaga kutoa tamko la serikar asema kwa kuwa wamefunga chuo na sisi tunakubali ashindwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale wadau wote wa arusha tech. College where skills make the difference kesho wapendwa wenzetu wanakwenda kugraduate. All the bect our beloved csters and brother.
0 Reactions
0 Replies
766 Views
1.UDSM 2.IFM 3.TIA 4.IAA 5.MZUMBE Ila msisahau Udom nayo inakuja kwa kasi sana,kwa baadhi ya wahitimu wake kuanza kufanya vizuri katika mitihani ya nbaa.
1 Reactions
25 Replies
24K Views
Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa chuo kikuu cha Dodoma. Hicho chuo kinaongozwa kama kijiwe cha pombe kila mlevi anafanya analoliona linamfaa. Uwajibikaji ni zero. Kuanzia ngazi ya juu hadi kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanafunzi wa chuo cha st.Joseph college songea wamegoma kwa kudai kurudishwa kwa viongozi wa wanafunzi waliosimamishwa masomo,pia wanadai wahindi wanawanyanyasa. Mgomo hadi jioni hii haujapata...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom