MBINU 10 ZA KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU TANZANIA(MAKALA,,,MWANANCHI)
Makala haya yanaangazia baadhi ya mikakati inayoweza kunusuru elimu ya watoto wetu, ili hatimaye waweze kupata stadi na ujuzi...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimemtunukia/patia shahada ya uzamivu ya kiswahili (PhD in Kiswahili) ndugu Method Samwel, kwa sasa anaitwa Dkt. Method Samwel.
Dkt. Method Swamel ameweka rekodi kwa...
Ni jambo la kushangaza sana ndg zangu. Kuna shule moja inaiwa Juma kisiwani, ni shule ya msingi iliyopo kata ya Katunguru Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza. Shule hii licha ya kuwa na uhaba wa...
mpaka sasa matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha 2 mpaka leo hayatoka huku shule zikiwa zimefunguliwa,nini tatizo makamanda?BRN vipi imekula kwao sana?
jaman ndugu zangu wa jf habari zenu,nahitaji msaada wenu wa mawazo kwa hili,mimi nimehitimu chuo cha ualimu grade (a) mei mwaka jana.na hivi majuzi nimefanya interview ya jkt na nimefuzu pia mmoja...
Kwani Wakati mwingine KAWAMBWA atumie tu ustaarabu aachie kiti. Huenda rais anamuonea aibu kumtimua. Kawambwa wewe ni mtu mzima kwanini usione aibu kwa kushindwa kutatua kero za elimu ukawaachia...
Habari. Naomba kujua muda ambao waombaji hupata matokeo yao baada ya kuomba Tgcl scholarship na je scholarship Hii ni yenye uSawa kwa waombaji au inaubaguzi/upendeleo?
Wakuu,hope mko poa kabisa!Ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa JF,pamoja na members wote kwa ushauri,maelekezo na muitikio wenu wakati ule nilipokuwa nikihangaika namna ya...
Ndugu wanajamvi,
Nimekuwa nikiumia sana kwa jinsi siasa mbovu za hii nchi yetu zilivyoingizwa kila sekta ya nchi. Nakumbuka wakati ambao tulikuwa hatujaingiliwa na mmomonyoko wa maadili kulikuwa...
Tafadhari waliosoma science na kupata alama hizo watasoma miezi 3 masomo yake mawili ya sayansi na kufanya mtihani akifaulu anajiunga na diploma ya ualimu mwezi wa saba mwaka 2014.
Habari,
Naomba kama kuna mtu mwenye soft copy au hard copy ya hicho kitabu aniPM tuwasiliane.
Waandishi ni Philip Hardwick,John Langmead na Bahardul Khan.
NATANGULIZA SHUKRANI.
Hivi wizara ya elimu inamakosa gani.?
Mbona manaibu waziri wa serikali hii elimu yao siyondogo lakini je wanao ueledi wa kusimama mbele ya tendaji wa wizara hiyo waliyobobea katika elimu.
Naanza...
Habar za kaz wakuu, Mimi ndo namalizia mwaka wa mwisho nasoma BAED ( Geography na History) niliitaji kuunganisha Master, Tatizo ni taratibu sifaham zikoje? na pia ni Master ipi ambayo inasoko...
ndugu wanajamvi kama kicha habar knavyojieleza, naomba msaada wenu wa kuvijua vyuo vya sheria kwa ngaz ya cheto coz kunamdogoangu almalza kdato cha nne mwaka 2012 xo anataka akajiunge mwaka huu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.