Mimi binafsi sirizishwi na hatua ya serikali sikivu ya CCM kuwakalisha kitaa wahitimu wa vyuo vya ualimu more than 7 months bila sababu za msingi. Hii inaweza kuwaathiri kisaikolojia, kiuchumi na...
Habari wana JF,
Kampuni yetu inajishughulisha na uuzaji wa vitabu vya kielektroniki (ebooks) kwa bei nafuu 10,000/= TO 20,000/=. Tuna vitabu vya aina mbalimbali kwenye 'fields' tofauti kama...
wizara hata ingeandikaga hivo ingekuwa bora, but kila nikichek MOE nakuta news zilezile za mwaka jana had nalose hop waungwana tetesi za mitaani nazo magumashi lol!
Wakuu mzee wa division five(mulugo) hatimaye kang'oka rasmi kwenye baraza jipya la mawazir lililotangazwa na katibu mkuu kiongoz ikulu muda mfup uliopita. Pongezi kwake mkuu wa nchi kwa usikivu!!!
Habari WanaJF, the home of great thinkers, kwa kutambua uwepo wa jukwaa hili lenye member makini na wenye uwezo wa kudadavua mambo mbalimbali napenda kuwaletea changamoto zinazowapata wanafunzi wa...
kwa waalamu wa lugha ya kiingereza ni vitabu gani vizuri vinavyoendana na sylabus mpya hii kati ya LONGMAN; OXFORD; NA UJUZI? PIA vitubu vya GRAMMER KWA O,LEVEL
Do you want to study abroad in USA on Scholarship? A number of USA universities and organisations offer undergraduate, Masters or PhD scholarships in USA for developing countries Students.
Full...
Tafadhali kichwa cha habari hapo juu chajieleza, swali hilo nimejaribu hata kugoogle kwa heading tofauti tofauyi lakini sipati kile ninachokihitaji. Nimeamua kulileta kwa great thinkers kwa...
Uwepo Wa shule za sekondari za Kata ni kiashilio cha kukua kwa sekta ya elimu, wasiwasi wangu elimu inayotolewa kweli inamuandaa kijana huyu kukabiliana na mazingira ya kielimu kwa miaka kumi ijayo?
Habari ya leo wana jf,
hatimaye serikali imetoa kauli kua waliofeli mtihani wa kidato cha pili mwaka jana ruksa kuendelea na kidato cha tatu.
CHANZO CHA HABARI GAZETI LA MAJIRA. Hii imekaaje...
Serikali imeruhusu wanafunzi waliofeli mtihani wa kidato cha pili kuendelea na kidato cha tatu. Hii mnaionaje wadau?hivi elimu yetu inaelekea wapi? serikari inataka kumfurahisha nani? au ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.