Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jenista Mhagama amechukua nafasi ya Mulugo, je substitution hii ni super sub?
1 Reactions
59 Replies
6K Views
huu ni mfano wa namna baadhi ya wawekezaji hawa kutoka asia wanavyojaribu kuwateka wenzao kutoka ng'ambo na kisha kuwageuza watumwa katika ardhi yetu ya tanzania. huyu ni dean fo student ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In the next 30 seconds you will, on average.... 1) Take 8 breaths. 2) Produce .3 grams of carbon dioxide. 3) Your heart will beat 36 times. 4) Produce 72 million red blood cells. 5) Your blood...
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Nawatakia maandalizi mema na Mungu awasaidie kwa wale wote wanaotaraji kuanza mitihan yao leo Amin...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Come and join the FUN!! ↓ →UHURU WALK & TREASURE HUNT 2014. Febuary 2nd • 7A.M • 6.5KM Giving orphans a chance for better tomorrow!! Take a step forward & contribute from Tsh 5,000/-...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
https://www.jamiiforums.com//index.php?task=106331
0 Reactions
0 Replies
702 Views
naomba kufahamishwa mifumo ya elimu bara na visiwani inaendana? Na je wap pa kupata matokeo yao?
0 Reactions
0 Replies
736 Views
ikiwa yamebaki masaa machache kabla ya kuanza mitihani ya kumaliza semeister ya kwanza napenda kuwatakia kila lakheri wana ARU katika mitihani hiyo
1 Reactions
0 Replies
706 Views
FULL SCHOLARSHIPS 2014/2015
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia kila la heri wanachuo wote wa Chuo kikuu cha Arusha University of Arusha katika mitihani yao inayotarajiwa kuanza apo kesho tarehe 27-01-2014 katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaosubiri ajira za ualimu habari nyepesi nyepesi zinasema zitatolewa mwakani muda kama huu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu naomba kuuliza wapi vitabu vya anatomy na physiology kwa level ya diploma vinapo uzwa kwa upande wa dar es salaam na vina fikia shilingi ngapi au kama kuna wepsite ambayo naweza soma hayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesikia jana RFA wakisema mbunge wa Vunjo DR. Augustine Lyatonga Mrema amfagilia Kikwete ndio nikastuka kwani sikuwa najua kuwa jamaa kasha ukwaa udokta. Sasa sijajua kama ni wa kusoma na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa anayejua jaman msaada wana jf
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Hivi kati ya vyuo vikuu Tanzania ni chuo gani kina malecturer wenye ubora wa chini kabisa?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ivi kuchukua wanafunzi wenye wastani wa 20 hadi 29 na kuwaacha waingie kidato cha 3 kwa kisingizio cha mafunzo maalumu mmeshajiuliza watafanya saangapi, lini na wakati gani, kweli alieomba chumvi...
0 Reactions
4 Replies
922 Views
Mgomo wa wanafunzi wa chuo cha St Joseph Songea unaoendelea na kupelekea chuo hicho kufungwa, umepelekea mmoja wa Walimu wa chuo hicho kutoka India kupigwa na wakubwa zake wa kazi kwa kile...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Dear friends I would like someone who knows about assistantship procedures application in the us or else and how it can help you pay your tuition fee &accomodation
0 Reactions
9 Replies
1K Views
"Elimu yetu ipo shakani, sasa hivi mtu mwenye shahada mbili analingana na mtu wa darasa la nne la zamani" Hii ni kauli iliyo ongelewa na mtanganyika mwenye shahada tatu (Phd). Alichokizungumza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu, mm nmezaliwa enzi za mwinyi kipindi ambacho darasa la nne la zamani linalosifiwa na babu zetu halikuwepo, sifaham ubora wake kiujumla, ila kila mzee analisifia kwamba ni bora sana kiasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom