Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

kuna mtu anaweza kujua mahali ulipo na unafanya nini kny computer yako???? utajuaje km yupo, sina amani na laptop yangu lol:mod:
1 Reactions
4 Replies
984 Views
UE
AMUCTA kikaangoni leo.sup tano,kwenu.
0 Reactions
4 Replies
977 Views
wana JF,kiambatanisho(attachment) kina habari ya kiuchunguzi juu ya kilichoripotiwa kwenye Tittle,Pitia attachment upate ukweli wa hii habari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna taarifa zimezagaa kua walimu wameongezewa mshahara asilimia 75, naomba majibu yenu yenye uhakika coz kuna ndg yngu yuko kijijini ni mwl ananisumbua ili apate uhakika. Great thinkers comment .
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jamani natafuta shule ya international school kwa ajili ya watoto wangu iliyopo jiji la Mbeya yenye kutumia IB or CIE curriculum kwa kufundishia. Naomba usaidizi wenu kwa yeyote mwenye kujua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tunalaumu Walimu kuwa chanzo cha mdororo wa elimu hapa Tanzania. Je vyombo vilivyoundwa ili kusaidia kuboresha elimu (kama vile Maktaba za Umma) vinatekeleza majukumu vilivyopewa? Mdadisi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mtu aliyesoma dip. In electronics and telecommunication anaweza kusoma telecommunication UDSM.kama ndio ni kwa mda gan?.msaada nwa anayejua tafadhal. Thanks in advance!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo katika maandalizi ya mitihani yangu. Nimeona njia rahisi ya kujizuia kuingia humu ni kuwa katika definite ban. Specifically, ninaomba ban ya siku 14 na ningependa iishe siku ya Jumatano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ndugu zngu hakuna ajira kwani serikali imefulia
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kiongozi kama naibu waziri wa tamisemi kasimu majaliwa yafaa ajiuzuru kwa kauli yake. mwishoni mwa mwezi wa 12 waziri huyu alisema ajira za ualimu zitatangazwa mapema mwezi january, saihiv...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Naomba kuchukua nafasi kwa kusema kwamba kulingana na vyuo tunavyotoka kusema kweli kuna vyuo vina elimu ngumu,USHAURI ni kwamba kwa yule aneona hana msuli wa kutosha aombe kuelekezwa asije ishia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali imekusudia kutoa tabuleti ya kufundishia masomo mbalimbali kwa shule za sekondari hapa nchini.ili kukamilisha mpango huo serikali imeingia ushirikiano na taasisi ya kimarekani ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamii, hopefully ni wazima, mgonjwa Mungu akuponye haraka, mi mgeni humu ni budi kusema hodi, nauliza km kuna anayefahamu mtu binafsi au taasisi inayotoa ufadhili wa masomo nje ya...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Habari wanajamii, Hopefully hamjambo na kwale wagonjwa ama tatizo lolote Mungu awafanyie wepesi. Mimi mpya kabisa humu ndani sina budi kusema hodi, shida yangu ni kutaka kufahamu kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kwa anaejua matokeo ya kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anifahamishe.
0 Reactions
1 Replies
13K Views
naomba kuuliza kama matokeo ya kidato cha pili 2014 kama naweza kuyapata online. please
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Top 100 Universities in Africa in 2013 Posted by Editor / December 23, 2013 - Nakuwekea link hapa kama ili utazame mwenyewe. Top 100 Universities in Africa in 2013 | THE AFRICAN ECONOMIST...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
hali zenu wapendwa! kwa mwenye habari/maelezo yenye uhakika kuhusu ajira za walimu lini zitatoka naomba anifahamishe kwa ngaz zote shahada,astashahada,na cheti, n.b nimeuliza kwa wema matusi...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Nimeona niamue kuweka thread maalumu kwa watu waliosoma sheria(law) certificate,diploma ,degree(LL,B),MASTERS(LL,M) NA PhD (LL,D) nia na madhumuni ni kujadili masuala mbalimbali ya hii taluma ya...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Hakuna asiyefahamu kuwa idadi kubwa ya Watanzania ni watu maskini sana hasa maeneo ya vijijini.Serikali imejenga shule za sekondari katika maeneo mengi ya vijiji hivi kwa lengo la kuwasaidia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom