Habari wana JF.
Napenda kujua wapi nitapata chuo hususani nje ya nchi ambapo nitasoma Masters ya Engineering Management.
Kama kunamtu anaweza kunipatia link naomba anionyeshe nikiwa bado natafuta.
Watanzania tuinue viwango vya elimu kwa kigezo cha ubora pia na si wingi wa wanafunzi wanaojiunga nakuhitimu kiwango fulani cha elimu. Haina maana yoyote kuwa na wahitimu wa kidato cha nne...
Habari wanajamii, naomba mwenye kufahamu namna ya kupata chuo na mfadhili kusoma malaysia anisaidie, natamani kusoma malaysia ila uwezo sina, nina degree ya community development nataka nifanye...
Habari wanajamii, mwenye uwelewa jinsi ya kupata mfadhili na chuo malasia tafadhali naomba msada wako, nina degree ya community development na natamani nikasome masters malaysia ila uwezo sina...
Wahadhiri wengi wa vyuo vikuu siyo waalimu kitaaluma. Wengi hupata fursa ya kufundisha vyuo vikuu kwa kuwa walipata GPA ya first class au kupitia uzoefu wa kazi kulingana na taaluma yake...
Wadau Naomba kuuliza inakuwaje Mkoa wa pwani matokeo ya Darasa la saba hayajatoka hadi hivi sasa hali shule za DSM matokeo yalishatoka, tokea mwanzoni mwa January. je kuna uzembe wa utendaji au...
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) in extending its effort of promoting usage of ICTs by designated people and also implement WSIS action line 2: Information and...
If you, or someone you know, is interested in applying for this amazing initiative, then visit the Regenesys Foundation website at www.regenesysfoundation.org for more information.
Applications...
wakuu,
katika almost shule zote hua hawakosekani wale walimu wa kali balaa ambaye ukiingia kwenye 18 zake ni lazima ueleze. kwa mfano mimi shule ya msingi lugalo niliposoma kulikua na...
JAMANI KUNA HII KOMBINESHENI; CBM(chem,bio,maths) NI KATI YA ZILIZOONGEZWA A-LEVEL !!! JE NAWEZA KUCHAGULIWA KUSOMEA UDAKTARI? AU med.doctor LAZIMA NCHUKUE PCB??
MWENYE IDEA NISAIDIE.
Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na tamaduni UNESCO limesema watoto milioni 250 wa
shule ya msingi duniani kati ya watoto milioni 650
hawajui kusoma na kuandika na hata kufanya...
waungwana,kama heading inavyojieleza ni mdogo wangu alichaguliwa kujiunga kidato cha tano lakini aliugua kwa mda mrefu sasa amepona ila anataka kusoma computer science tafadhal kwa anayekijua...
Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Naibu waziri wa Elimu,Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Elimu,Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu.
Naamini kwa hivi sasa moja ya mambo makubwa yanayotikisa sekta...
Mh; Waziri napenda kukutumia barua ya wazi kutokana na kukosa namba yako ya simu.
YAH;MIZENGWE KATIKA NAFASI ZA WATOTO WALIO FAULU NA KUTAKIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA.
Rejea kichwa cha...
1. Yunnan university of TCM-MBBS&NURSING
2. Jiangxi university of TCM (im studying in this too)-MBBS
3. Hubei university of TCM -MBBS
4. Jingganshan university-MECHANICAL ENGINEERING. ELECTRICAL...
Kwa kweli mimi najisikia kufa kufa baada ya kusugua bench tangu may 2013 na ka diploma kangu ka ualimu nikiwa nasubiri ajira mpya. Kunamtu alisema Mulugo alipo kabidhi ofisi walisahau kumuomba...
Ndugu Zangu Wana JF Kwa Jina Naitwa Philipo Ndunguru, Ninaomba Msaada Wa Ufadhili Wa Kujiendeleza Kielimu.Nimemaliza 4m Six 2013 Kwa Shida Na Nimechaguliwa Kujiunga Na Masomo Ktk Chuo Kikuu Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.