Nataka nichukue mtungi wa gas, bt nimestack aina gani ya gas nichukue kati ya oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie kiushauri. Shukrani sana
BG Scholarships - British Council in Tanzania
Ziko nafasi kumi, changamkia waweza kuwa wewe, deadline si kitambo toka sasa
Nb: sina ruhusa kupost jukwaa la elimu ndio mana nimepost huku
Jamani wana JF kwa anaye fahamu kuhusu hili anieleweshe:Hivi kuna madhala yapi kama umepata usaijili wa kusoma Post Graduate kwa chuo ambacho kilizuiliwa kutoa Masters na TCU kwa sababu ya...
MSc Forensic Computing V/S MSc Information Security and Management.
Najiandaa kufanya moja ya kozi hapo juu, kwasababu zinaendana na mahitaji yangu zote mbili.
Napenda kujua ipi ni bora zaidi...
ARE YOU WANT TO STUDY ABROAD ESPECIAL IN DUBAI WHERE BEST UNIVERSITY ARE SETTLED HERE IN DUBAI.
CONTACT US FOR MAY INTAKE
HERE IN DUBAI FROM BEST UNIVERSITY WHICH HAVE BRANCH IN DUBAI...
Wiki iliyopita niliandika uzi hapa kuhusu tabaia ya walimu kuwarudisha nyumbani wanafunzi eti kwa sababu hawajamaliza kulipa michango ya shule. watu wengi hawakuunga mkono hoja yangu, wakitumia...
Elimu ya sasa inaonekana haina thamani ukilinganisha na zamani kwa jinsi zamani msomi alikuwa akiheshimiwa.
"shule ya msingi niliyosoma nakumbuka tulimaliza kama 80 lakini tuliofaulu kwenda...
JF members
Am interested in paper writing and presentations. ..any one with a link to call for papers in civil engineering within East African Countries kindly drop it below.
With...
jamani sio siri tatzo la chakula mashuleni limekua tishio kubwa sana hasa mikoa ya nyanda za juu kusini (iringa, mbeya na sumbawanga) wanafunz wa a' level wanasumbuka sana..... Serikali mpo...
Poleni ndugu zangu,napenda kuchukua fulsa hii kuwaomba walimu wenzangu wanaotarajia kuajiliwa mwakani ambao wapo tempo katika shule binafsi waniiunganishe na waajili wao ili nami nipate chochote...
ni wazi kuwa mh. majaliwa alidanganya, rais naye kimya na huenda mh. rais anajua walimu washaajiliwa kwasababu hii nchi mawasiliano baina ya viongozi ni majanga. ila tutambue kama mwaka juzi post...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.