Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari za Jumamosi wanaJF. Nina mtoto ambaye anakaribia miaka mitatu. Tupo kwenye mabishano kidogo na wife kwamba mtoto aingie chekechea au la!. Mama anasema umri huo unatosha, lakini mimi naona...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Mi nimechaguliwa bachelor of education with special need udom.vp ajira zake zikoje mtu akimaliza?NAWAKARIBISHA WATU WOTE WENYE HEKIMA KWA MAWAZO YENGE HEKIMA
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Wiki iliyopita niliandika uzi hapa kuhusu tabaia ya walimu kuwarudisha nyumbani wanafunzi eti kwa sababu hawajamaliza kulipa michango ya shule. watu wengi hawakuunga mkono hoja yangu, wakitumia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
hawa watoto nao wana ndoto zao maishani! wengine watataka kuwa mawaziri, wengine wafanyabiashara, wengine waalimu, mwingine atataka awe rais n.k sasa je kwa mazingira kama haya, ndoto zao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Mimi ni mdau mzuri wa JF na nikiri kwamba JF imenipa faida nyingi sana. Leo ntaieleza Moja tu nayo nikujua thaman ya Elimu ya Madrasa Wana JF sote nimashahidi kwamba ktk thread za kila siku...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Nimekuwa nikijiuliza kwa nn hiki chuo bado kinatumia system ya zamani ya kudahili wanafunz wake wenyewe bila kupitia Central Admission system (CAS) ya TCU kama vyuo vingine vya elimu a juu?Je ni...
1 Reactions
173 Replies
18K Views
Wadau vyuo vikuu kuna kozi zilizoanzishwa ambazo hufundisha masomo ya kufundishia kama vile biology, chemistry, physics , history na mengineyo. Tatizo la kozi hizi ni pamoja na changamoto za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nadhani mnamkumbuka Headminstrees Bi mgeni? Sijui yupo wapi. Nadhani maesha staafu . Kwa wanafunzi mnamkumbuka Cary max?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa jinsi baadhi ya form one walivyo wadogo kiumri, inaashiria kwamba kwa baadae kutakuwa na walimu watakaokuwa kwenye peer group moja na wanafunzi wao, ina maana kwamba walimu na wanafunzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habar kizazi cha mapenz jana serikali imetoa post yangu peke yangu na imenipangia Paris na natakiwa kuripot tareh 1 Feb na niende na vyeti vyote sasa nauliza vp kuhusu lugha yakufundishia na vipi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wanaohitaji tuition ya masomo ya biashara:commerce,book keeping,accountancy pamoja na mathematics.kuanzia form 1 hadi form 6 tuwasiliane.utapata tuition katika muda utakaoupanga wewe hvyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JAMANI KUNA HII KOMBINESHENI; CBM(chem,bio,maths) NI KATI YA ZILIZOONGEZWA A-LEVEL !!! JE NAWEZA KUCHAGULIWA KUSOMEA UDAKTARI? AU med.doctor LAZIMA NCHUKUE PCB?? MWENYE IDEA NISAIDIE.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najivunia kusoma shule ya Highlands Sec. Iliyopo Irina Mjini karibu na 7 7, kama na wewe umesoma pale, tafadhal ningependa tufahamiane hapa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Utafiti....uliofanywa na wataalamu wengi unaonesha watu wengi ambao wapo maofisini na hufanya vizuli na hukubalika......kutokana na vyuo hivi kutoa watalaamu katika fani hizi ndio wanaofanya...
2 Reactions
63 Replies
14K Views
Nimesubiria saana! nkajua labda januar nayo ndohyo inakata, walsema wanasubir kibal kutoka u2mish kuanzia FEBRUARY 1 - MARCH 30, km cyo kurpot mwez wa 4 hapa cjuii!.... mfano zkatoka march 15 we...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hivi punde tu katika kipindi cha Nipashe cha Radio One Stereo, Meya wa Manispaa ya Kindondoni Yusuf Mwenda, amekiri katika mahojiano na mwendeshaji wa kipindi hicho kuwa Shule ya Msingi ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hii sasa ni fedheha katika taasisi ya Umma. Kuna ndg yangu amepewa promotion hapo na kusisitiziwa iwe siri yake maana yeye amependelewa tuu na wenzake waliomaliza shule wote wameachwa, kwa hiyo...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Wabaya wa Uongozi wa Chuo huhamishiwa huko kama adhabu kwa kuwa wanahoji ufisadi unaofanyika. Hata kama watoto wako shule hupewa barua ghafla ya kutakiwa kuhamia Zanzibar mara moja. Kama unasoma...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Vyuo vya ualimu Tanzania vimefanywa sehemu ya Mkurugenzi wa elimu ya ualimu ndugu Bakari Issa kuvuna hela kinyume na taratibu na maadili ya kazi. Aidha ndugu Bakari Issa amewateua wakuu wa vyuo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwakweli hata kama mambo yamebana sana na walio wengi hawajui course work zao hadi leo ijumaa na jumatatu Ue ianze,ni wakati ambapo kila mmoja anayeguswa kuomba kwaajili ya jambo hili afanye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom