wizara imetoa amri kila mtoto wa kidato cha pili mwaka 2013,aliyepata alama za wastani wa 20-29 kuendelea na kidato cha 3. swali..1.HIVYO VIPINDI VYA ZIADA NANI ATAFUNDISHA? 2.NANI WA KULIPA HAO...
kwenye hotuba yake ya mwezi uliopita J.K alinukuliwa akisema serekali itaajiri walimu zaid ya elfu 30 mwezi wa januari..... ili januari ndio hiyo inaaga. dah.. tired!!
mkoani Arusha,mashule mengi ya private walimu wanaofundisha pale ni wa kutoka kenya na ukizingatia wanajificha kutokana na kua hawana uraia hali hii inazuia vijana wa tanzania kupata kazi ktk...
Ni wapi elimu ya tanzania inapoelekea? kama elimu imebadilishwa kuwa kama mchezo wa kuigiza, mabadiliko yanafanyika kimya kimya tu, na kwa namna hii inaonesha kabisa kudorora katika sekta hii. our...
salaam wana.jf
kuna mtu wangu wa karibu kaletewa cheti cha ualimu ila kimeandikwa daraja A. je,hilo daraja ndio linafaa kufundishia au nini?
__anaweza kuajiriwa ualimu?
na je waalimu...
Serikali yetu imeona kuna umuhimu wa kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kuwapa mkopo ili waweze kujikimu kwa muda wote wa masomo, cha ajabu hawa waganda wao hilo hawalioni wanachojali ni...
HABARI ZENU WANA JF,
Tumesikia sana kuhusu suala la ajira mpya za walimu,labda niseme tu kuwa ajira zetu zipo cha msingi tuwe wavumilivu,
na inawezekana hata...
Ugomvi mkubwa watokea chuo cha st.joseph songea mhindi mmoja amepata kipondo kutoka kwa wahindi wenzake baada ya kukataa shinikizo la kusaini barua ya kufukuza wanafunzi 25 chuoni akimbilia kwa...
Jamani napenda kujitokeza hadharani tena peupee na kukiri mbele yenu kabisa kuwa,mimi ni mwanafunzi wa Kidato cha Tatu niliyefaulu kwa Mbinde lakn mwaka huu umekuwa wa neema kwangu.Nimeingia F3...
Ngugu wana Jv naombeni mnijulishe juu ya kiwango cha elimu itolewayo na chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT)na hadhi ya chuo,Ushauri wenu ni muhmu ili niweze kufanya maamuzi yalio bora, nataka...
Kimepita kipindi kirefu kidogo toka wawaambie wanafunzi walionyimwa mikopo ya Elimu ya juu kukata rufaa ili wafikiriwe upya. Na kama kawaida maombi hayo yaliambatana na fee ya shs 5000.
Jambo la...
Ikiwa imebaki wiki moja ili awaye mwnachuo wa chuo kikuu cha taifa (UDSM) aingie kwenye mavuno ya alichokipanda kwa muda wa miez minne ilopita
i wish u a nice and prosperous preparation of UE...
mwendo wa dics modo chini travoo afu kitu mlege , kuingia shule saa 3 asubuhi , notsi anaandika dent, kufundisha dakika 10 zilizobaki story za mapenz na mpira ligi ya England, madent wazur wa kike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.