Wataalamu naombeni msaada hili swali linataka nini?
Accounting in not an end unto itself rather a means to achieve end. Comment on the above statement by giving the factors which influence an...
Wanafunzi wa chuo cha st.joseph tawi la songea wamefanyiwa uzalilishaji na jeshi la polisi wavunjiwa milango na kutolewa nje wakiwa uchi wapigwa na kujeruhiwa vibaya majanga haya yamewakuta...
heshima yenu wakuu,
kichwa cha uzi hapo juu kinajieleza ,naomba kwa mwenye kujua mtaala mpya wa vyuo vya ualimu tz mwaka 2013 /2014 anijuze au anifumbue macho . nawasirisha
Katika hali ya kushangaa kwa kushtushwa na taarifa kwamba ni lazima mtahiniwa asahili masomo zaidi ya matano kama anataka tafuta credit je nikweli utaratibu huo watumika?
Tangu nilipoanza chuo mwaka 2009 nilipenda sana kufatilia jf hasa jukwaa la elimu, kilichokua kinanivutia ni post zakponda vyuo, wkt mwngne nilikua napoteza muda mwingi kuchangia kwenye hizi hoja...
I understand that many schools in this country of ours do not have computers, connection to the internet and the necessary equipement to support such as electricity, but this testimony (or is it?)...
nimeanzisha kampuni ya kuzoa taka,lakini nashindwa nianze vipi kazi,kama mnavyojua wabongo walivyo wagumu kutoa pesa,lengo la kampuni yangu ni kuzoa taka majumbani hapa mbeya,hembu nipeni...
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Korogwe Teachers Training College
Diploma in Education
1989
1990
DIPLOMA
-
Curriculum Development and Programme Planning
1989...
Habari wanajamiiforums.....Kwa wale waliochelewa kujiunga masomo ya masters na Postgraduate Diploma UDSM na vyuo vingine ni nafasi yako sasa kusoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Masomo...
matokeo kidato cha pili ya metoka.ila tatzo kubwa linalojitokeza kwasasa ni njinsi waziri wa elimu na naibu wake na taasis ya elmu inayokuwa awaelewani
waziri wa elimu (mh shukuru kawambwa)...
Yaani ndugu zangu watanzania yatakamoyo kuisapoti hii wizara, mwenzenu cheti cha form four kimeibiwa, sasa nilipoenda baraza la mitihani wakaniambia nikiatanze kwenye magazetii ya serikali yaani...
Wadau naomba msaada wa kujua shule za sec zinazojihusisha na michezo. Nina mtoto anaingia form two anapenda sana michezo na kichwani so you sharp sana.
Ningependa nimkuze kimichezo zaidi
Hivi nchi hii ya Tanzania ni madudu gani tunayafanya katika elimu. Kwanin serikali inacheza na elimu kwa watoto wetu kiasi hiki? Kidato cha pili kwenda kidato cha tatu eti ni wastani wa 20...
Elimu yetu imekua chini maana tumeshindwa kuwapa wataalamu wakaipika idara hii,mtaani mashabiki wamekua wengi na kila mtu ni mtaalamu wa elimu,mbona haziingiliwi Idara zingine kama...
Naomba msaada wa chuo cha kusomea mambo ya maabara Dar es Salaam. Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na hakufaulu vizuri. Hata hivyo angependa akasome mambo ya nursing au laboratory...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.