nakipenda sana chuo changu udom,nakitakia mafanikio kwaharaka kama udsm,lakini mafanikio yake yatachelewa sababu yawatendaji wabovu nawasio wajibika...hapa nataka niwaseme watendaji nawahasibu...
The Ministry of Education, Culture, Sports, Science and Technology (MEXT; in Japanese "Monbukagakusho") of Japan offers Tanzanian students 4 types of scholarship to study at Japanese universities...
Hãbari wana JF,mimi ninaishi Kinyelezi. Nina mpango wa kuhamia Bunju. Ninao watoto watatu wa Form three, Std 3 na begginer. Wote wanasoma kwenye English medium. Mwenye kujua shule nzuri iliyopo...
Wakuu mwaka jana saut walikuwa wanatangaza evening program kwa level ya bachelor na watu weng sana waliapply nikiwemo na mimi pia walisema masomo yangeanza mwezi wa 8 lakin hawakuanzisha had muda...
Kwa taarifa amabazo nimezipata kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba walimu walio kuwa wanasubiri ajira ya serikali wanaweza wasiajiliwe kwa sasa kutokana na ufinyu wa bajeti ya wizara hali hii pia...
Tafadhali kwa watu wa morogoro wanaojua kituo kinachotoa maelekezo(mafunzo) ya muziki notaz na upigaji wa kinanda na gitaa nijulisheni nataka nihudhurie.
Wakuu nina rafiki angu anataka nimfunze kiswahili ila sina muongozo, naomba kwa yeyote anaejua whereabouts kuhusu hili anisaidie, atakaefanikisha ninaahidi kumlipa Tsh 20,000. Whether ni syllabus...
Review. The final exam is basically a test on everything you have learned. Look at old tests, notes, and attempt to remember what your teacher taught you.
Find your weak points. Is there a...
wapemwa wanajamii wenzangu,nimebahatika kupata nafasi ya kusoma shahida ya uzamili ktk fani ya biashara chuo kikuu cha DSM,ishu ni ada je naweza kufaham ni NGOs zip au Ubalozi gani naweza kuomba...
Hallow...wadau. Ningependa kujua kwa anayefahamu kuhusu mwezi gani wa kufanya application za masters hapa mlimani, chuo..na mwisho wa kupokea fomu za maombi.
Me ni mwal. Wa kemia na Baolojia, nmemaliza chuo kikuu mwaka jana 2013, nasubiri kupangiwa kazi na serikali, tatizo hadi sasa sijachukua transcript, je nikipangiwa kazi inawezekana nikapokelewa...
Wana JF;
UNIVERSITY OF TWENTE wametangaza scholarships za fields kibao, kwa wanaotaka kufanya Masters, kwa mwenye kuhitaji source: International Scholarships for International Students from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.