Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Serikali imesikia kilio cha wanachuo wa ngazi ya Cheti(astashahada) a.k.a Grade A kwa kuwaruhusu kufanya mitihani ya marudio kwa masomo ambayo watafeli. Kabla ya halo ilikuwa mwanachuo akifeli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi ni mwalimu mwenye degree kwa sasa nafanya M.A. EDUCATION EVENING PROGRAMME - udsm, nafundisha geography na civics, nina uzoefu wa miaka 6 kazini. Napatikana DSM. Contact: 0685-955811/0714-408238.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO MAALUMU YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA - SAYANSI NA HISABATI | Print | TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO MAALUMU YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA KWA...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau wa jukwaa hili habari za saa hizi Naombeni mniambie shule nzuri ya boarding kwa mikoani urgent please ambayo ina mazingira mazuri ya kusomea natanguliza na shukrani zangu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama UMEWAHI KUWA MWANAFUNZI WA HIZO SHULE ULIYEMALIZA MWAKA 2006 CHINI YA HEAD MASTER BALONGO, NAOMBA UNI PM , AU UNITAFUTE KWA NAMBA 0715510630 , NI MUHIMU SANA!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwako mwenye uwezo wa kufanya hesabu hizi, unisaidie hapahapa. 1.Ikiwa set A={XER;6>X, au9<X} B={XER;-4>X au3<X} C={XER;-4<X<6} tafuta; a)AuB b)BnC c)AnB' 2.Ikiwa n(AnB)=5...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
jamani elimu haina mwisho, anayejua chuo kizur kwa kozi ya quantity survery anifahamishe ikiwa ni pamoja na vigezo, ada, mda kufanya usahili,changamoto, nk. naomba ushirikiano wenu wasomi
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Wanajf, katika hali ya kushangaza leo hii gari ya matangazo ya manispaa limepita likitangaza kuwa shule zote za manispaa hazitafunguliwa tar. Iliyotakiwa zifunguliwe yaani j.tatu ispokuwa shule za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nimesikia kuwa cbe campus ya mwanza huwa na intake mbili kwa wanafunz kuanza masomo yaani mwezi wa 3 na wa 10. Kwa wale wa mwezi wa 3 huwa wanatoa application fomu mwez wa kwanza, nimejaribu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa nyakati tofauti DUCE imetajwa katika masakata mbalimbali ya wanasiasa wanaopitia hapo. Tukianzia na Ludovick Joseph Yule wa movie ya Lwakatare alipitia pale.Siasa zake na ushiriki wake CDM...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mdogo wangu, yupo kwenye mitihani, jana nikamkuta na rundo la madaftari na vitabu, analalamika anasoma hayaishi na mtihani ni leo, anasema anasoma akifika mwisho ya mwanzo ameshasahau, basi kwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mahitaji muhimu yanayohitajika kwa kidato cha kwanza
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Heshima kwenu wadau, mimi ni mwanachuo wa chuo furani cha ualimu hapa tz. katika maisha yangu ndoto yangu nirikua natamani sana niwe mtaalamu wa kilimo na mifugo. lakini kutokana na sababu za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi brn ni mpango wa nan jamani? Nafikiria na nashindwa pata jibu maana serikali ilitangaza matokeo dar 7 kwa mbwembwe na kusifia ufaulu mzuri sana.kinachonipa shida ni muda wa hao wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi, nimeulizwa hili swali / kitendawili ila nimekosa naombeni jibu please. Mimi ni wa kwanza dunuani na wapili mbinguni, huwa natokea na kuonekana mara mbili kwa wiki lakini waweza kuniona...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
kwa aliye/anayesoma chuo cha ualimu mhonda morogoro tafadhali naomba anisaidie kunitajia ada yake na namna ya kujiunga kwa certificate.!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wale wadau waliosoma mkwawa high school(complex) kwenye miaka 2001-2004 wanakumbuka vichwa hivi tuambiane viko wapi na vinafanya nini sasa? (1) mr.mbao-huyu alikua headmaster enzi hizo...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wanafunz wa chuo cha St.Joseph~ Songea,waendelea kuwa ktk hali mbaya kiuchumi.Hii ni mara baada ya kuambiwa kuwa chuo hicho bado hakija pokea fedha za kujikim wanafunzi kwa awamu ya pili.lakini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu wadau, chuo cha biashara(cbe) tawi la mwanza kuanza kutoa degree mwaka huu kuanzia mwez wa tatu kwani kwa kawaida chuo hiki huwa na intake mbili yaan wanaoingia mwez wa tatu na wanaoingia...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
barida wakuu nimepata CONCEPT nw
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom