jamani wana jamvini, je mpo mliosoma Chang'ombe Primary School? shule ya mazoezi ya Chuo cha Ualimu Chang'ombe ambacho sasa ni Chuo Kishiriki cha U Dar, hebu tuwakumbuke baadhi ya walimu ambao...
TUSIIME PRIMARY SCHOOL - P0202083
WALIOFANYA MTIHANI : 158
WASTANI WA SHULE : 230.0063
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 1 kati ya 99
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 1 kati ya 486
NAFASI YA SHULE KITAIFA...
nashangaa mtihan ulifanyika sept hadi hivi leo matokeo hayajatokaz,ukiwauliza wahusika wanapiga chenga,watoto wamekaa tension kila iitwapo leo. anaejua sababu atujuze jamani
Utakuta Mzazi yuko nyumba ya kupanga,mtoto yuko English medium ya Tsh million moja(chekechea), kipato cha mzazi ni laki 2.5 kwa mwezi .., hana kiwanja wala nyumba ..JE, ni sawa?.... kufanya jambo...
Tanzania kwa sasa imesheheni vyuo vikuu vingi, kwa mfano mdogo
kuna Mikoa ina vyuo vikuu vitatu na kuendelea. Ni maendeleo mazuri!
Ubora wa Elimu unaotolewa katika vyuo tulivyonavyo ukoje na...
Nilikuwa nipo maeneo fulani hivi tukiwa na baadhi ya watu wazima ambao pengine naweza kusema wameona mengi hapa Tanzania.
-mzee mmoja akauliza nasikia wanasema udsm kimekuwa chuo cha nne...
nimesoma 'Bachelor of Arts with Education' -Linguitics na History pale UDSM,natafuta kazi ya kufundisha shule ya sekondari.nina uzoefu wa miaka minne ya kufundsha(shule binafsi).Namba 0753275322
1. Institute of acountancy arusha, iwe university of science arusha (usa)
2.ifm iwe, dar es salaam city university (dcu)
HIZI TAASISI MBILI ZINA KILA KITU KINACHO TAKIWA..
Access to ICTs by Designated Groups
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) in extending its effort of promoting usage of ICTs by designated...
Vijana waliohitimu darasa la sabu wamechaguliwa kuendelea na masomo ya sekodari, waliochaguliwa wamefurahi, wapo wale ambao hawakuchaguliwa, hao wamenuna, mioyo yao imesononeka. Tafakuri Je Ni...
Kumekuwa na utaratibu wa bodi ya mikopo kutumia kigezo cha mwanafunzi ambaye amesoma shule za private kukosa sifa ya kupata mkopo wa bodi kwa ajili ya High learning Institution. Mimi napingana...
Natafuta kazi ya ualimu wa masomo ya book keeping na commerce kwa o level,nina degree ya accountancy kutoka chuo kikuu nitashukuru sana kama mtanisaidia kupata kazi hiyo mkoa wowote nchini maana...
nasoma project planning mwaka wa kwanza. nina sababu mbili za kutaka kuahirisha mwaka. .moja i dont think i l make it in project planning with a good gpa mbili nimepata kitu cha kufanya . .the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.