Wale mlioomba transfer tcu, mambo tayari, pitie kwenye web then click ile taarifa ya selected student, utaona link yake.
Naomba niwaulize kama umepata mkopo ktk chuo ambacho ndio umeamishwa...
Jamani naomba mnisaidie,kama kuna mtu anaejua second selection za diploma muhimbili huwa zinatoka mwezi wa ngapi?na waliochaguliwa hujiunga mwezi wa ngapi?msaada please.!Mungu awabariki.
Habari wana JF, Nina mdogo wangu anataka kusomea Diploma in Tourism kwenye chuo chochote kilichosajiliwa na NACTE.Kwa yeyote anayejua chuo hicho tafadhali anitajie jina,naomba pia na mawasiliano...
Habarini za majukumu wanajamvi? Nina ndugu yangu ana cheti cha ualimu wa shule ya msingi ila angependa kujiendeleza kwa malengo ya kutaka kubadiri taaluma. Naomba ushauri wenu ili tuweze kujua...
karibu wik mbili sasa toka tuanze kuripot hapa chuon, kwa upande wa kinadada wote wa mwaka wa kwanza hasa college ya eduction,wameonesha heshima na nidham ya hali ya juu hasa ktk mavaz, kwahiyo...
Habari za saa hizi wanajamii...
wiki iliyopita nilikua mkoani singida katika harakati zangu za kusaka mkate wa kila siku lakini safari haikuishia singida mjini kwani ilinilazimu kwenda katika...
by JOHN BUKUKU on OCTOBER 23, 2013 in JAMII
Na Faki Mjaka-MAELEZO - ZANZIBAR
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imesema Masomo ya Dini,Kiarabu na Masomo mengine hajafutwa na...
Kama kunamtu unaemfaham aliemaliza form6 kuanzia 2003 mpaka sasa masomo ya SAYANSI na kupata (S S S) yani (IV-18, au (SS) IV-19 wanaombwa kufika moja kwa moja chuo cha ualimu morogoro kwa...
wadau, habari za leo?
nimesikia kwamba chuo cha taifa cha usafirishaji kiko mbioni kuanzisha course ya usafirishaji wa anga ambayo ada yake inafikia TAS milioni mia moja!
wadau nimejiuliza sana...
mimi ni mwanafunzi wa kiume wa UDSM mwaka wa tatu naomba kama kuna mwanafunzi anaweza kunibeba au kuniuzia room Mabibo Hostel anaweza kuni-pm. Ni kijana safi tu, mpole. Thanks in advance wakuu
pata computer kwa bei rahisi ukiwa dodoma kama vile
1.del laitude D620 processor core 2 duo 2.0 ghz,ram 2 gb,hdd120 gb,wireless,bluetooth wifi dvd writter kwa 400,000 tu pamoja na guarantee 1...
There will be a test at 26th of october,tc ol about testing the knowledge for all 1st year student 2013/14! If you fail automatically you ll b required to study it...!bt when u pass t wij b over...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.