Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

kwa mwenye desa za first,second,third years desa za bcom accounting naomba anisaidie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi nawasalim sana! Licha na kutingwa na majukumu yangu ya hapa na pale naomba nitumie muda huu kumuomba makamu mkuu wa chuo kikuu (mother of all universities) udsm kuzui rushwa hii. Prof...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi nilianza Chuo mwaka Jana course ya degree in education lakini mwaka huu Mzazi Wangu hakupenda nisome education Vipi wadau sasa hivi naweza pata Chuo kweli mana naona Kama nimechelewa japo...
0 Reactions
3 Replies
845 Views
msaada jamani kwa ELECTIVE COURSE kati ya hizi nichague ipi?? 1.development studies 2.management behaviour3.introductory sociology 4.communication skills
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza natanguliza shukrani kwako, Kwenye loan allocation nimepata mkopo, na Jina langu lilikuwepo kwenye mbao za matangazo chuo, Kwa sasa mkopo umekuja chuoni na wenzangu wamepata, mimi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nashangaa na ninazidi kujiuliza kila siku, JE ni nini hatima ya wale waliokosa mkopo ambao Form zao za kuombea mkopo hazikuwa na kasoro? Je kwa wale walioandikiwa NOT ELIGIBLE wanaishia wapi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mungu hamtupi mja wake..hatimae afya wamenichagua katika coz ya dental laboratory technician ...kwa anaefaham inahusu nn na wapi ajira zake..pia mshahara naomba anipe dondoo kidogo
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wkt bunge limekaa ilipitishwa hoja ya kuwaangalia upya wanafunzi waliokosa mikopo kwa mwako wa masomo 2012/13 na likaamuru bodi kuwaangalia upya wanafunzi wanaoendelea na masomo na likaja na hoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je mtu kama ali apply tcu akapangiwa chuo hakitaki , after that akatafuta chuo direct how can he tranfer his loan kwenda chuo alichokipata. .je inawezekana? Kama inawezekana inachukua mda gani?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wanajamvi, sijabahatika kutazama taarifa ya habari usiku huu ila kuna mtu kanipigia simu kaniambia kuna taarifa kuhusiana na apeal ya heslb kwaiyo mwenye taarifa kamili kuhusiana na ilo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kichwa cha hbr kinajieleza
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Leo nimekumbuka mbali sana baada ya kuiona picha yangu nikiwa Bagamoyo Sec School 1996-1999.Nimekumbuka mengi sana moja wapo ni ubabe wa Peter Naali.Ningependa tusitajane majina,ila mmoja wetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
aisee mi nilikuwa muoga sana wa fimbo!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
invalid
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I remember One of Mandela's words, he said that "Education is the most powerful weapon which you can use to change the world"
0 Reactions
3 Replies
750 Views
Habari zenu wasomi wetu Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level?? Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
ukishamaliza kugawa karatasi na kuhakikisha kila kitu kipo sawa waruhusu waanze kisha chukua kiti chako kakae nyuma kabisa ya darasa halafu toa tecno yako t605 anza kuchati au ingia jf usome...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajamii swali langu ni kwamba Tunapoiangalia Nchi ya China tunaona inaongozwa kwa msingi wa chama kimoja (MONOPARTISM) Swali: CHINA IMEENDELEA KISIASA? IS CHINA DEVELOPED POLITICALLY?
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Nafahamu wengi wenu mnasubiria barua za kujiunga na chuo huku tarehe za kujiunga zikikaribia bila ya kupata taarifa zozote ni lini barua zenu zitatumwa kwenye maboksi yenu ya posta ili mfahamu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi unaweza kushift kutoka NURSE MIDWIFE hadi GYNAECOLOGIST hnawezekana? msaada tafadhari..!!
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Back
Top Bottom