Maisha ya siku hizi kweli ni changamoto,
Kid wa nusery ameleta letter kutoka school, inayomtaka mzazi achangie elfu 20 za kufanya sherehe
y kumaliza nusery (graduation). mtoto asiyechanga...
Mimi staki kuamini Taifa langu linanibagua,ila sera mbovu na mikakati mibovu,utendaji mbovu ndio unatubagua.kila siku tunasikia kwamba serikali inawekeza katika elimu,,mbona ualisia wake ni...
first year teku wapagawa baada ya account zao kucheka ila kali kuliko yote jumamosi ndo mpango mzima wanawakaribisha wote katika WELCOME NJUKA WA CHUO 02/11/2013
:tinfoil3::amen:
Kiukweli asilimia kubwa ya viongozi waliopo serikalini wamesoma UDSM.
Viongozi hawa wamefanya mambo hasi kama haya.-:
1. Kushuka kwa Elimu Yetu.
2. Kuongeza umasikini nchini.
3. Kushindwa...
Jamani Jamani Nchi Yangu Hawa Watu Wanakupeleka Wapi? Nakumbuka Enzi Za Mongai Alifuta Michezo Mashuleni Akidai Inachangia Kufeli Na Akasahau Michezo Pia Ni Sehemu Ya Elimu Na Ni Industry Nzuri...
kiu kweli sisi kama nchi (tz) tumekuwanyuma ktk kufanya mambo ya msingi ya kiuchumi,kijamii na kisiaasa sabubu ya kushindwa kuwekeza kweli ktk elimu basi ushari wangu basi serikali itilie mkazo...
WANAFUNZI 1,107 wa masomo ya kipaumbele waliokosa mkopo kutokana na fomu zao za maombi kuwa na dosari, wamepewa muda hadi Novemba 6 mwaka huu, wawe wameshasahihisha fomu hizo. Wanafunzi hao...
Si mmeona ! Hakuna kupata ziro tena. Ukipata alama 0 kwenye mtihani ni< Ufaulu usioridhisha. BIG RESULT NOW iko kazini.
Soma, fuata link
Mabadiliko makubwa mitihani ya sekondari - Kitaifa -...
Vp wanajukwaa General Agric Vs Agronomy ipi ni nzuri na ukisoma waweza angalau kucema science inafaida.Ni mdogo wenu naomba ushauri mwakani naaply.Be blessed!!
Wana Jf na Watanzania wote walio mstari wa mbele katika harakati mbalimbali za kuiendeleza nchi yetu,poleni na uchovu wa kazi.
Kuna hiki kitu kinaitwa 'Statement of Results' ambacho huwa...
Habari wakuu.
Nina cheti cha Form IV kina jina la Benas Masalu, Form VI zimeongezwa initials EM na kuwa Benas EM Masalu na Diploma ni Other names: Benas E.M. Surname name: Masalu. Hizo initials...
Akizungumza na walimu walioudhulia semina ya Matokeo makubwa sasa inayofanyika katika shule ya sekondari Iyunga Afisa Elimu wa Jiji Mbeya."Alisema BRN ilianzia kwa Mawazili wakaikubali,Ikaletwa...
salaam zenu wakuu humu ndani.naombeni msaada wenu juu ya ni muda gani toka chuo kifungue kama hujaripoti hautakubaliwa kujiunga na chuo?nauliza sababu nilichaguliwa st francis this year but...
unakumbuka "MOTTO" wa shule yako au shule yoyote ambao ulikuvutia zaidi????? Weka hapa tukumbushane "enzi zetu" mimi sitasahau "education is an invissible asset" wa "Maendeleo primary school"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.