Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Sijui hili taifa linaelekea wapi.. Kila kitu kinaendeshwa kisiasa!. Basi hadi elimu jamani?? Wakubwa katika wizara husika nahisi hawawajibiki kivitendo hasa katika kuiboresha elemu ila wapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu utaratibu wa kutoa matokeo kwa uwazi ni mzuri sana. Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu wana jukwaa........! Awali ya yote nipende kumshukru mungu kwa kuni kutanisha na watanzania wenzangu mda na wakati kama huu..... hapa chuoni ninapo soma kuna coz moja tu ya EDUCATION mimi...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Baadhi ya wanafunzi wameacha kusoma baada ya kutangazwa wazi kufutwa div 0. Kwa madai ya kuwa walikuwa wanasoma ili kuepuka zero
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni centre ipi kwa Dar es salaam inatoa mafunzo ya CNNA Data center CNNP Data center CCIE Data center Na gharama zake zikoje. Asante.
0 Reactions
0 Replies
714 Views
kesho sa saba mchana hadi sa kumi na moja wana mzumbe,sua ,mum,jordan na vyuo vyote vilivyoko morogoro mnakaribishwa kwenye jukwaa kubwa la uchumi litakalofanyika chuoni mzumbe.hivyo mnaombwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni baada ya Prof. Hamisi Dihenga kustaafu ndio huyu bwana, Prof. Mchome kashka usukani, katibu mkuu wa wizara ya elimu..... Nipatiene CV yake nna waswas na maamuz yake.... Labda hafai kuwa...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
KWA WALE WALIOSOMA LAW SCHOOL WAANGALIE MATOKEO YAO YAMETOKA LEO The Law School Of Tanzania Exam Results (8TH COHORT RESULTS FEBRUARY, 2012), (1st,2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th & 7th COHORT SUPP...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Walimu wa ihawaga wapo juu kwani wanajua kujishughulisha hasa za vinyunguni
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Ni sababu gani inayofanya mambo na mipango mingi ya afya kwenda ndivyo sivyo?
0 Reactions
4 Replies
884 Views
An elaborative description on the existence of ghosts from a scientific perspective..! HOW SCIENCE - NEWS & IDEAS
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Nipo hapa mtaa wa Ilboru sec school na naona wanafunzi wanatoka na mabegi na naona kuna magari matatu ya polisi na wamejiandaa kwa lolote lile. Ngoja niifuatilie na nitarudi hapa hapa kwa maelezo...
6 Reactions
77 Replies
11K Views
habar jf, naomba kujuzwa na hili. Wale tulioambiwa wakarudie kutuma maombi ya mkopo, mbona nikifungua hilo web yao haifunguki. Nimejaribu zaidi ya mara 5 kwa siku tano. Nini hasa tatzo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ina maana gani kuweka ufauru form four hadi DIVISION FIVE?! kweli kama viongoz wana busara basi wakachunguzwe upya kwa vipimo maalum kuona kama kuna ambao wamewah kutumia viharibu akili!! WENGINE...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Kupitia tovuti ya wizara ya afya na ustawi wa jamii kwa taarifa muhimu za kujiunga na chuo ambazo zilitakiwa zitumwe kwenye masanduku yenu lakini utaratibu ukabadilishwa!! Taarifa hizi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nichukue nafasi hii kuipongeza wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi pamoja na serikali kwa ujumla kwa jitihada kubwa za kujaribu kufanya kila liwezekanalo ili kila mtanzania aipate elimu,pamoja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF wakati huu ambapo jamii ya watanzania wameduaa wasijue cha kufanya baada ya mshtuko wa kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana ambapo hata jawabu la tatizo hilo bado...
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Habari wakuu...nilimaliza kidato cha nne miaka kadhaa iliyopita..matokeo yangu yalikuwa mabovu sana...nikageukia upande wa pili..nikaamua kukimbizana na hela..nimefanya kazi kibao(kutembeza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ALAMA ZITAKUWA KAMA IFUATAVYO A ni 75 hadi 100; huu ni ufaulu uliojipambanua B+ ni 60 hadi 74; huu ni ufaulu bora sana B ni 50 hadi 59; huu ni ufaulu mzuri sana C ni 40 hadi 49; huu ni...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom