Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba msaada wa maelekezo ya kuweza kupata GPA nzuri jinsi zinavyo gawanywa kuanzia first mpaka mwisho:amen:
0 Reactions
19 Replies
3K Views
MDOGO WANGU ANA MATOKEO YAFUATAYO KWA MATOKEO YA STD 7 KISWAHILI-A ENGLISH-B MAARIFA-B SAYANSI-A HISABATI-A GRADE A yupo KIGOMA ni msichana,anawezapelekwa wapi mdogo wangu.
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Hi NAOMBENI MSAADA KWA YEYOTE ANAYEWEZA NITUMIA SAMPLE NZURI A BARUA YA KUTOA ORDER KWA MTU KUREMOVE COMPANY LOGO KWENYE GARI ALILOUZIWA ASANTENI
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Wadau naomba kujua hivi shule za msingi za serikali zinafungwa tarehe ngapi? I mean mwisho wa mhula wa pili 2013 ni lini?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Mwaka jana TCU walinitupa kwenye kozi ambayo sikuichagua bachor ya IT chuo I.F.M,kweli sikuipenda na nimeamua kwenda kusoma Clinical medicine...Sasa kuna watu wananiponda eti nimekimbia mshahara...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wakuu, Leo tuangalie upande wa shule za Msingi, matokeo kutupa picha ya mwelekeo wa elimu kama unazidi kudorola ama kuna matumaini ya kunyooka. Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008...
1 Reactions
54 Replies
130K Views
Habari wakuu! Kuna mtoto wa rafiki yangu anataka kusoma kozi tajwa kwa level ya certificate au diploma kwa hiyo nauliza kuhusu vigezo vya kusomea taaluma niliyoitaja hapo juu, na chuo gani binafsi...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Heshima mbele wakuu..Kwa wadau wa Loyola High School ( Dsm ) naomba mnijulishe kuhusu taratibu za kujiunga kidato cha kwanza katika shule hii. WITH MUCH APPRECIATION.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mheshimiwa Rais na Wabunge Wetu, Tunaomba kuanzia mwaka ujao wa fedha 2014/2015 Serikali iongeze kiwango cha Ruzuku kwa kila mwanafunzi wa shule za Msingi na za Sekondari za umma kwa ajili ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Akiongea katika kipindi cha jambo leo asubuhi kupitia TBC 1 naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo amesema serikali imefuta div. 5 baadala yake itaendelea kuitwa div 0 kama ilivyokuwa inaitwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Matokeo makubwa sasa nchini yanawezekana hutaki hama nchi A=75-100 B+=60-74 C=40-49 D=30-39 E=20-29 F=0-19 Division 1=7-17 2=18-24 3=25-31 4=32-47 5=48-49 hapo nani ashindwe na nani kasema...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar wa dau wote, kama mada inavyojielezea hapo juu je mtu anaweza kuchukua degree kama cheti chake cha form four kina pointi 30 kwa maana kwamba alisoma certificate baadae akasoma diploma, je...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada wa kujua jinsi ya kuendesha Nursery School na taratibu za kuisajili kama kuna mtu anamchanganuo wa gharama zote hadi uanzishaji na mbinu mbalimbali za kukamata wanafunzi.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tafadhalini naomba kujuzwa mambo muhimu ya kufanya ktk kutekeleza uhamisho wa mwalimu(yaani ni vitu gan anapaswa kuwa navyo na vitu gan vya kufanya mf.barua ktk kudai ruhusa ya kuhama bila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nopo ktk gari sasahivi nawaona akina mama wawili wamevaa nadhifu utadhani ni wasomi wakubwa na pia ni eafanya kazi ktk ofisi kubwa kabisa kumbe waapi. Tatizo:mmoja anamwambia mwenzie kua meanae...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
taarifa kwa wale ambao hamkufanya application mnapewa nafasi ya kufanya maombi kabla ya tarehe 06 november tatizo kubwa hapa hawajaweka taarifa hii ila ingia OLAS click watakuletea how to apply...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Bodi ya mikopo yafungua dirisha la ku 'appeal' from 1 nov-31 dec
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani mtoto wangu kapata nafasi chuo cha ukutubi bagamoyo naombeni mwenye kukifahamu na kuyajua mazingira anijulishe,pia nimeona kama hela ni kubwa,anataka kusoma certificate.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Ikiwa takribani miezi 10 imepita baada ya wizara ya viwanda na biashara kufuta udhamini wa wanafunzi wa vipimo cbe waliokuwa wanawadhamini.Na kuambiwa waombe bodi ya mikopo,wote wamekosa...na...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom