Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari, Nimekuwa nikiona post, comment hapa Jf na wakati mwingine Sms nikitumiwa na watu mbalimbali nimegundua kuwa watu hawajui kutofautisha maana ya neno Mungu au MUNGU au Bwana au BWANA na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani muda wa lunch unakaribia sana kwa watu wa maofisini maana tunapewa saa moja kuanzia saa saba mpaka saa nane kwa ofisi zilizo nyingi, sasa kuna kitu huwa kinanitatiza mimi kama mfanyakazi...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mfumo na mkakati wa kuongeza idadi ya wanafunzi ili kujaza madarasa katika shule za sekondari; mfumo ambao unashadidiwa na kile kinachoitwa "BRN" imeanza mapema kuonekana. Matokeo ya darasa la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Stationary kubwa arusha nisaidieni, natafuta rag papers
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wazazi wenye watoto makongo sec.school hali ya shule ni mbaya maana mpaka sasa shule imefilisika na walimu hawajalipwa mshahara hivyo wamegoma na kufanya watoto hasa A'LEVEL&FORM I na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimesumbuka 52 days kubadili cozi imeshindikana,until nimefkri kupost pond mwaka...wewe ukiwa kama grt thinker jf unanishauri nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
If you are looking for a full-fledged mathematics teacher to mentor your students in O-level or A-level, please send me a private message.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa ghafla sana na pasipo maandalizi wizara ya afya imebadilisha kiasi cha ada ambapo kwa ngazi ya cheti tu ada kwa mwenye bima ya afya ni 880,000 kwa asiye na bima ni 930,000 watoto wa wakulima...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Katika mitihani inayoeendelea ya kidato cha nne walimu wa kutoka wilaya ya muleba wanaendelea kusimamia mtihani huo kwa manung'uniko ya hali ya juu kwani mpaka sasa hawajalipwa stahiki zao za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naomba contact za mkuu wa chuo cha uuguzi korogwe, same, mbulu na kondoa kwa mwenye nazo
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani majibu yametoka ila kuna list ya rizevu wana maanisha nini maana mimi sielewi,naombeni msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakubwa naomba msaada wa website ya matokeo ya darasa la saba tafadhari
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wote ambao mmechaguliwa vyuo vya afya na ambao bado hamjaripoti vyuoni jiandaeni kupokea barua zenu ama joining instruction.
0 Reactions
0 Replies
864 Views
habari wana jf kuna hizi karatasi zinaitwa rag paper, kwa kiswahili sijui zinaitwaje, anayejua stationer kubwa ambayo naweza nikazipata aniambie....shukrani
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Barua toka wizarani inasema ifikapo tarehe hyo uliyechaguliwa hujalipoti nafasi itachukuliwa na walio kwenye orodha ya reserve. Changamka ni jumamosi tu wiki hii.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari yenu wakuu. Samahani naomben kwa anaejua website nzuri nnazoweza kupata material mazuri ya law. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Hi wakuu, kuna swali hapa nimepewa na dogo wa form two. 2-1+1=? Nimetumia formula ya magazijuto jibu nikapata 0 lakini dogo anakomaa ni 2, je nani yupo sahihi?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wapendwa na poleni na majukumu ya kila siku. Naombeni kuuliza kwa ambao tayari wamesoma CPA na wamepata tayari na wanaujua muziki wake. Swali langu ni: Je naweza nikasoma cpa module E na F...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
jamani bodi imetoa maelekezo ya kuappeal kwa wale tuliokosa mikopo. hivyo tujaribu tuone itakuaje?
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Naomba mnisaidie kunielekeza ni sehemu gan hapa dodoma wanafundisha vizuri english course kwan kuna mdogo wangu anatokea mkoan anataka aje kusoma!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom