Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

imekaaje hii neema wadau wa sua- kwanzia walio mwaka wa kwanza hadi walio mwaka wa nne wanaochukua irrigation and water resources engineering kwa mwaka wa masomo 2013/2014heslb imewalipia ada 100%.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello, .....calling on professionals, graduates and college students MEGA Kijana Foundation based in Arusha came into existence in 2013 primarily as a Movement for Education and Growth Action...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Jamani wadau hapa nilipo nasikiliza wapo radio FM Kuna jamaa anaelezea kuhusu chuo cha urubani, kinaitwa Tanzania aviation university college kipo Tabata Magengeni. Wenye taarifa kuhusu hiki...
0 Reactions
22 Replies
18K Views
RUNNING YOUR BUSINESS LIKE A PROFESSIONAL (The Eight Steps) is a new addition to the book manuals from Magna House of Solutions. It is available in both English and Swahili. Get your copy NOW! We...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 22.ninaishi na mama yangu kwani baba alitangulia mbele ya HAKI miaka mingi iliyopita pindi nikiwa darasa la tatu.Nimeishi na mama yangu kwa muda wote na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja ya wanafunzi waliochaguliwa na wizara ya afya kujiunga na chuo cha utabibu kilosa na bado sijapata joining form.naomba yeyote mwenye mawasiliano ya kiongozi yeyote wa hapo chuoni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana jamii.naomba msaada kwa anayeweza kurecomend shule nzur kwa boarding fm 1 na darasa la kwanza.wote wamesoma english medium primary na nursery.Natanguliza shukurani
0 Reactions
14 Replies
20K Views
Masturbation is the stimulation of one's own genital area to the point of orgasm. It is a topic often discussed in whispers simply because it is about sex. What makes it more taboo is the fact...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mwaka jana TCU walinitupa kwenye kozi ambayo sikuichagua bachor ya IT chuo I.F.M,kweli haikuwa moyon kabisa na nimeamua kwenda kusoma Clinical medicine...Sasa ndugu wananiponda eti nimekimbia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yeyote mwenye kuifahamu website ya KAHAMA PUBLIC HEALTH NURSING SCHOOL, naomba anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Hv baada ya kusema mwisho ni tar25 sasa selection ni lini wadau tujuzaneni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Waliochaguliwa round ya 4 na TCU kujiunga na vyu o mbali mbali nchini hatima yao kuhusu mikopo itakuwaje?mimi ni mmoja wao na niliambiwa kama sipo kwenye ile orodha ya waliokosea kujaza fomu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi heshima yenu ndugu zangu. Sijaripoti chuo tangu kifunguliwe kwa sababu ya kutokua na mkopo sasa nimejichanga na raia mbalimbali wamesema watanisaidia nipate ya kusoma semister moja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wadau, Naombeni msaada wa dhati kwa yeyote anayeweza kuwa anafahamu site for downloading free Accontancy books for free nilikua na shida na vitabu kama: 1.IFRS Red Book Bundle (2013)...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Wakuu jamvini nina mdogo wangu ambaye yeye alibahatika kuwa allocated na mkopo lakini cha kushangaza hadi sasa kwenye majina yote ambayo yamepelekwa chuoni kwake hajabahatika kuliona akiongea na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu! Nilikuwa na ndoto siku nyingi ya kusomea nje ya nchi hasa nchi za wenzetu za ughaibuni. Nimehitimu masomo yangu katika Chuo Kikuu Huria almaarufu kama 'OUT', na sasa nataka...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
MADARAJA YA KIWANGO CHA UFAULU SASA NI SAWA Serikali ilitaja madaraja 1 hadi 5 kuwa yatumike kutoa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne. Madaraja hayo ndio yaliyokaa vizuri. Madaraja ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
discuss the existence of slavery mode of production in africa
0 Reactions
2 Replies
737 Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21, nasoma mwaka wa 3 kwenye chuo kikuu kimoja cha hapa mjini, nafanya shahada ya miaka minne, nimezaliwa na kukulia kwenye familia bora, tumezaliwa wanne na...
1 Reactions
126 Replies
9K Views
Habarin wana jf! mwezenu nilibahatika kupata mkopo toka heslb, tukiwa chuoni imekuja jana fomu ya wenye mkopo jina langu likiwemo tukaandika account no zetu but cha kushangaza imekuja fomu ya...
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Back
Top Bottom