Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ninashindwa kuelewa haya mambo yanayotokea katika SECTOR MUHIMU kabisa ya elimu yana lengo gani. Hivi karibuni Wizara ilitangaza alama mpya na mpaka ikafika kipindi kukawa na maelewano hafifu...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Nchi hii imekuwa ya majaribio maana kila anayeingia katika wadhifa fulani anajitahidi kufuta/kurekebisha ya mwenzake ili kuleta mfumo mpya bila kujali athari zake kwa jamii na hii inatokana na...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Naomba kujua jaraja la mwisho la ufaulu kwa darasa la saba lipi?
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Leo tarehe 4/11/2013 naanza mitihani ya kidato cha nne, leo ntaanza na Geography saa 2:00 asubhi na baadae English saa 8:00 mchana. Maombi yako ni muhimu sana!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwaheri div 0 karibu div5! Best wishes kwa members wote mnaofanya national exams kesho. Hope allah atawakumbusha mliyosoma toka form one. Na wale mnaotafuta credit hope this time mtapata tu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
mimi ni mwl nisiyependa ualimu ila mkopo na ajira zimearibu ndoto zangu napiga kisw/ ps
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Mimi natumia receiver ya wiztech ila channel zimekata naomba msaada kwa anayefahamu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je wakumbuka Swali, Kazi, Jibu?? Na je siku hizi kuna kitu cha namna hiyo?? Elimu zamani bana si sasa hivi! Mfano: Swali: Gawanya 1,550 kwa 5 kwa njia ndefu...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Habarini za wakati huu wadau wa ili jukwaa? Hivi kwaninini kila waziri anayechuku wizara ya elimu lazima aje na kitu chake cha kushangaza jamii? Je, hii inatokana na kukosekana kwa dira madhubuti...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
nilikua hapa mitaa ya shule moja ya secondary,nimeona gari nne landcruiser zimeleta mitihani nkajiuliza kuna haja gani kuchoma mafuta kwa gari nne kisa mitihani? Hii inji tutaendelea kua masikini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama kuna mtu yoyte mwenye tetesi aniambie kuwa ajira mpya za walimu walio maliza mwaka huu zitatoka mwezi wa ngp???
0 Reactions
0 Replies
976 Views
JAMANI Eeeegh mimi nataka kuwa mwanachama natokea Diploma naombeni mnipe maelekezo kuanzia siku najiunga mpaka siku nachukuwa cheti maana sijui chochote ila naomba msiniambie niende ofisini kwao...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Sijui hili taifa linaelekea wapi.. Kila kitu kinaendeshwa kisiasa!. Basi hadi elimu jamani?? Wakubwa katika wizara husika nahisi hawawajibiki kivitendo hasa katika kuiboresha elemu ila wapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wasomi wa nchi hii embu tutafakari leo na kushirikishana kuhusu suala la nchi yetu kujiingiza katika vita mbalimbali. Je bajeti ya nchi yetu inatosha mpaka kupeleka majeshi katka kila nchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilipata nafasi ya kupita kuangalia chuo cha mafunzo cha Swissport pale Nyerere Road kwa ajili ya mwanangu anayemaliza chuo mwaka huu - nilishangaa kuona madarasa ya kisasa yenye viyoyozi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
hii kozi ni possible kwa mtu aliyesoma comb ya hge kusoma au ni kozi gani zipo pale sua ambazo mtu aliyesoma comb ya hge anaweza kuapply na kuzisoma,nawasilisha wakuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu ningependa kujua kama kuna utofauti kati ya Bachelor of Business Administration (BBA) na Bachelor of Commerce (B.Com)
0 Reactions
7 Replies
6K Views
salamu ndugu, mwenzenu natafuta compani ya kusoma nayo course ya postgraduate diploma ya education. kama mpo tuwasiliane tafadhali, si mnajua tena umoja ni nguvu? hivi kuna chuo kinatoa full time...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hebu tazameni dunia ilivyo na vituko! kila mtu akishapata chansi basi anajitahidi kufunga mlango kuzuia wengine ili wasifanikiwe kama yeye!.tutazame lengo la viongozi wetu wa siasa waliojaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wana jf.kwa maoni yangu naona kushusha madaraja ya ufaulu kwa k4 na k6 si mpango mzuri kwa kuboresha elimu.ila ni juhudi ya kutafuta sifa na kuondoa aibu ya matokeo ya k4 na k6.kwa mpango huu...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom