ndugu zangu wanaharakati wenzangu wa kutoka vyuo mbalimbali hapa Tanzania....semister iliyoisha SUA ilifanya uchaguzi na hakika ilipata rais bora aliekubarika sana,lakini kiongozi yule baada ya...
Habari za leo wanajamii,
Nimeombwa kutafuta marekebisho ya sheria ya kazi "Employment and Labour Relations Act, 2004". Kuitambua document husika inanipa taabu.
Kwenye website ya Bunge...
Tatizo la maji chuo kikuu cha Dodoma linatesa sana wasomi ambao wapo eneo hili.
Nawaonea huruma sana mabinti na wanawake ambao wapo hapa kwani inafika wakati inawalazimu kutoka nje ya chuo na...
Professor maarufu wa muda mrefu SUA kutoka idara ya veterinary public health Prof Mkumbukwa M.A.Mtambo ameteuliwa kuwa Deputy Vice chancelor Academic, Research and Innovative katika Taasisi ya...
We are in the process of establishing an NGO which will deal with children welfare countrywide, everything is set up are we are waiting for registration. Some of our patners are not serious and...
wakuu
wanawake kweli ni hatari!
leo asubuhi wafanya usafi wamekiokota kichanga ndani ya dustbin. tukio limetokea block L....
kweli msomi huyu ataweza kutufikisha sisi vijijn tukawa na elimu...
Katika hali isiyo ya kawaida, OCD wilaya ya Kondoa amempiga mateke, ngumi, vibao na kumchania shati mkuu wa shule wa shule ya sekori Kikore wilayani hapo.
Tukio hilo lilitokea jana 03/11/2013...
Ndugu wadau mimi binafsi pia nilikua na wazo la kuanza kusoma hiyooo inayoitwa "New Syllabus", Ila according to NBAA website kuanzia november next year exception kwa mtu aliyemaliza degree...
Kabla Tanzania hatujaamua kuwa na 50-50% ya kila jambo kati ya wanaume na wanawake hetu tutizame nyuma kwanza tuone kile kiwango tulichokwisha kiteleleza kina hali gani?
Tujadiliane ili tuone...
Dear wana jamii Forum, mtoto wangu atakuwa miaka 5 na nusu Jan, nilitamani awe darasa la kwanza Jan lakini kuna vitu bado hajavifahamu kama handwriting sio nzuri japo anaandika na kusoma bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.