nachelea kusema kuwa heslb wangexema kabisa idadi ya watu watakaopewa mkopo kwa wale wanao-appeal pia criteria za kupata mkopo sio tena kutumia mda mwingi na 5,000 alaf inakuwa matatizo hivi ni...
Salam wakuu,
Nakumbuka back in days shuleni, kulikua na formula zilizotengenezwa kama nyimbo hivi ili kufanya wepesi kwa wanafunzi kukariri. Kwa mfano, kwenye periodic table kulikua na: Halo...
hello wana jf
...msaada kwa ndugu dada yetu ana dvn 4 ya point 29 swal ni kwamba anaweza akapata chuo cha ualim ???? na if yes naomba mntajie vyuo ambavyo vtampokea.,
shukurani...
Wana JF, nataka niwe mbunifu wa mavazi, kazi yangu ya kwanza nataka nibuni suruali ya kiume, iwe imetuna hapa mbele, mwanaume akiivaa anakuwa kama ana busha. Wajuzi wa mambo ya masoko saidieni...
Taarifa niliyoipata toka kwenye chanzo cha kuaminika katika chuo cha MUCCoBS ni kwamba wanafunzi wote waliobadili programme/course ,walizopangiwa na TCU wote watakosa mkopo ! mfano kama...
Habari wakuu? Leo nimemaliza kufanya mitihani ya CPA. Lakini wakuu napenda kuongelea suala la mitihani ya NBAA. Hivi hawa jamaa wakoje? Maana mitihani yao hasa somo la Management Accounting jamani...
Habari zenu wadau.Wadau kila mwaka vyuo vinachukua wahandisi wangapi? inamaana wahandisi wao mkopo ni given? idadi ya wahandisi waliokosa mkopo naona ni ndogo sana, vyuo vingi wanatoa wahandisi...
Moja ya mapungufu makubwa wanayoyafanya wasomi na wanasiasa wengi wanaotokea maeneo ya usukumani ni kwa kutotoa elimu stahiki kwa jamii zetu zilizo na utajiri wa kutisha kuthamini elimu.Hii ni...
Kuna ndugu yangu namsaidia kufanya appeal ya bodi ya mikopo lakini kila tuki log in inaleta personal information only zile sehemu za kujaza info nyingine haziji ko anayefahamu jinsi ya kusolve...
Ikiwa ni siku mbili tangu kidato cha nne kuanza mitihani yao ya Taifa, wilayani Rorya malipo ya wasimamizi wa mitihani hiyo bado ni kitendawili.Akifunga semina elekezi ya wasimamizi wa mitihani...
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo...
Nimempigia mtu simu voda to tigo, nikapata ujumbe huu "namba unayopiga haipokelewi, the number you have dialled does not answer".
Sasa wataalamu wa lugha hiyo does not answer ni sawa? Maana...
Jumla ya wanafunzi 114 kutoka kozi moja tu ya mass communcations hawatograduate kutokana na suplimentary,kushndwa kumaliza/defend research,na kufeli kwny comprehensive. Idadi kwa kozi nyingne...
Positioning STRATEGIES for GRADUATE job seekers: *CAREER SUPPORT SERVICES*
*CAREER SUPPORT SERVICES*
Dear Super Applicants,
How do you go about getting your dream job?
In the last ten years in...
Jamani nashangazwa na jinsi wanavyopangilia majaraja ya darsa la 7 2013,mfano mwanafunzi anapata A moja au mbili na zingine B anawekewa daraja A,hii ni kichekesho.Sijui wametumia kigezo ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.