Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

WAZIRI PINDA APEWA SIKU SABA ATOE RIPOTI YA TUME YA KUCHUNGUZA UFELI WA KIDATO CHA NNE CHA MWAKA JANA. kuna tamko ambalo mtandao wa wanafunzi nchini "TSNP" wAKISHIRIKIANA na uNIVERSITY OF DAR...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The most sought after particle in modern physics, the "God particle" has been confirmed..! here is the link: DISCOVERY OF THE GOD PARTICLE - HOW SCIENCE
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Kwa mwenye nanma ya kuweza kupata mitaala ya masomo kwa shule za Tanzania
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Katika kuakikisha Tanzania inafanikisha malengo yake ya kutoa elimu bora kwa wananchi wake , ni jambo gani linafaa kurekebishwa ili vijana waweze kupata elimu ya kuwakomboa kutoka kwenye utumwa wa...
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Please anayefahamu postal code za Tanzania naomba anisaidie
0 Reactions
0 Replies
829 Views
United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Whether you’re eating at home, dining out, or having dinner with friends, good table manners for kids are an important part of every meal. When you teach your child good table manners, you are...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Waalimu wote tanzania mnaalikwa kujiunga na group yetu Facebook, Inayoitwa TANZANIA all TEACHER "STARS" Lengo ni kubadilishana kmawazo kimaendeleo, kubadilishana vituo vya kazi na kuendeleza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tukutane kwene FACEBOOK kwene group ya TANZANIA ALL TEACHER "STARS"
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Ndugu wana JF;naomba kufafanuliwa maana ya msomi ni mtu wa aina gani;tafadhari naomba ukichangia tumia MAREJEREO sio kuongea ongea tu.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kiukweli wale tuliofanya transfer ya vyuo bado hali yetu ni ngumu. Pesa hakuna. Hatuelewi ni lini hizo pesa zitaletwa kwenye vyuo tulivyopo. Mwenye updates za hili suala anijuze please..
0 Reactions
1 Replies
908 Views
kwa wale ambao form zao zilikuwa na dosari awali wamepewa mkopo majina yanawekwa ktk chuo husika,God may bless you
1 Reactions
8 Replies
3K Views
mm ni continious student nko mwaka wa pili. nliomba mkopo ile first year nikawa nmepata bt wakati wa kuapdate mkopo kuingia mwaka wa pili nliapdate toka ule mwez wa 5 bt Juz kati hivi kna majina...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
IFRS & IAS presentation prepared by Delloite in a very presentable manner Humo utakutana na mifano, Coaching, references.. maswali mengi ya kujifunza na kukusaidia kuijua kila standard kwa kina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
heshima kwenu wanandugu... Nayapenda sana maisha yangu na ninapenda sana nifanikiwe maishani hivyo sina budi kufanya hivi ili kusonga mbele. mimi ni mwanachuo katika chuo mojawapo hapa tz na...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wadau mbalimbali wa elimu wamefananisha alama na viwango vipya vya madaraja kwa shule za sekondari na tangazo la Airtel Money 'Hakatwi mtu hapa' kwa kusema alama hizi ni sawa na serikali kuwaambia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ikiwa wanafunzi 1,121 waliofanya marekebisho mbalimbali wakisubiri kwa hamu kujua nini kitajili ila kutoka jikoni ni kuwa watatoa baada ya siku 3 (tatu) kikubwa ni kuomba sana Mungu ili...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa wale wa udsm ambao walirekebisha form zao zenye makosa, majina yametoka..unatkiwa kwnda kwa loan officer kusain hela yako
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dah leo nikiwa napanga panga vitabu vyangu nikakutana na riwaya za Musiba na nikaamua kusoma moja ya Riwaya za zaman za A.E. Musiba na mpelelezi mashuhuri Willy Gamba. Kweli Nyakati zimebadilika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zangu ni aibu sana kwa UDOM kutota2a matatizo ya wanafunzi wake,2nahtaji kupata wataalamu wenye vigezo na uzalendo waku2mikia Tanzania.Kwa hli la BED PPM mwaka wa pili na watatu kutopewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom