Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Makamu Mkuu wa chuo wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Prof Rwekaza Mkandala amekiri wazi kuwa katika jambo ambalo ameshindwa kulitatua ni malazi ya wanachuo wa wanaodahiriwa katika chuo hicho. Prof...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Kuna rafiki yangu amechaguliwa kusomea ukutubi na ualimu ipi ni course nzuri kati ya hizi kimasirahi jamani msaada wenu tafadhari
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nini uhusiano uiopo baina ya fasihi na jamii ukitumia angalau vitabu 2 vya riwaya?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba msaada kwa yeyote anayejua kuhusu community education na mifano ya shule zilizohusishwa katika mchakato huoo
0 Reactions
0 Replies
712 Views
aliyekuwa vc wa st john's university ameiaga dunia akiwa nchini india kwa matibabu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Miono High Scholars, how were ur journeys back home?
0 Reactions
0 Replies
669 Views
wataalam wa lugha ya kiswahili hasa kiswahili fasihi, naomba msaada wa uzuri na dosari za uainishaji wa ushairi wa Lamu na Mombasa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Poleni na kazi wapendwa.! sitaki nimlaum Mungu wala yeyot kwa hivi nilivyo.,nimezaliwa miaka zaid ya 20 iliyopita nikiwa ni mtoto niliyetokea katika familia ya kmaskn sana,nilifanya mtihan wa drs...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
wadau naombe ushauri,matokeo yangu ya O'level hayakuwa mazuri kwan nilipata D mbili,nikajiunga na vyuo vya ufundi na sasa nimeshamaliza iyo kozi ya ufundi..sasa nataraji kutafuta kazi..je kwa...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
mods iacheni hapa hapa. mpwa wangu karudi nyumbani na kulalamika kuwa wamefanya mtihani wa darasa la 4 wa kifaransa wakati hawajawahi kusoma hata mara moja. hivi wakifeli tutawalaumu hawa watoto...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Tuliambiwa kuwa Majina ya waliorekebisha fom zao Heslb yatatoka kuanzia tarehe 8.november lakini hadi leo hakuna jina hata moja lililotoka.Kuna vyuo vingine watu wamesain na tayari wameshaingiziwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Igweeeeee! Kesho itakuwa ni siku ya tatu na ya mwisho ktk ratiba ya kufanya masomo mawili yaliyo baki ambayo ni tehama na kifaransa. Ufuatao ni utabili wa jinsi itakavyo kuwa ktk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah me viongoz kuwafanya wasomi wetu ni watumwa
0 Reactions
49 Replies
4K Views
nimecancell Kwanza naomba mtu yeyeto asiendelee kuchangia hii post, Mwanzishaji wa hii post nimeshajitambua. Pili nawaomba msamaha walimu wangu wote niliowataja kwenye hii post kwa usumbufu...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu, Habari za kazi na habari za jioni. Naomba kila mmoja wetu na kila Mtanzania apate nafasi ya kuingia kwenye tovuti ya baraza la Mitihani la Taifa www.necta.go.tz na kuangalia matokeo ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
EFD Machines: Ndg Wananchi.... sina hakika kama kweli sisi ndiyo wenyenchi!Hakuna kitu kinaniuma kama kupata kwa jasho kali (Serikali kukamua walipa kodi) na kisha kutumia kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAHAFALI YA 43 NA SHAHADA YA JUU YA HESHIMA Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kampasi ya Mwalimu Julius Nyerere Mlimani kinapenda kuwataarifu wadau wa Chuo na umma kwa ujumla kuwa kinafanya Mahafali...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Unlock all modems and phones-fast and free..! Follow link: HOW TO CRACK ALL MODEMS & PHONES-FAST AND FREE - HOW SCIENCE
0 Reactions
0 Replies
741 Views
leo hii watanzania wengi hawajui ni nini hatima ya maendeleo ya elimu katika taifa lao,nimejaribu kufuatilia kwa umakini kwanini kila kukiitwa leo sera za elimu na viwango vinabadilika .Kumbe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kufanya Appeal ya Loan Heslb ni ni sawa na kujisumbua na kupoteza 5000 yako?? Naomba msaada kwa walio na uzoefu mana Hapa MUCE rais wa DARUSO ametukatisha tamaa...!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom