Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba kufahamishwa endapo barua ya uhamisho kutoka mkoa 1 kwenda mkoa mwingine ikipotea mkoani kwa mtumishi, hatua gani mtumishi anazotakiwa kuchukua pale mkoani ilikopotea?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali za certificate na diploma Muhimbili kwa mara ya pili watembelee website yao majina yametoka,,,au tpia jina hapa tukutaftie km umepata nafasi,, thanks
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana? Naomba kama kuna mtu anafahamu website yoyote inayotoa huduma za online learning, anifahamishe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimetoka kwenye kikao na waziri wa mikopo wa hapa MUCCoBS maswali tumemuuliza karibu yote kashindwa kuyajibu!! tatizo huyu waziri anaogopa kukubali kwamba kuna uzembe kwenye idara husika(Loan...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
naona hapa mkwawa baadhi ya wadada wanafuatwa na magari.si dada ila inaniuma kua na waalim
0 Reactions
21 Replies
3K Views
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM POSTGRADUATE STUDIES FEE STRUCTURE Nimekuta total fee ktk fani za sayansi na biashara ni tsh. 6,375,000/= kwa 18 months na tsh. 8,500,000/= kwa 24months...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Wasalaam waungwana Ninaomba msaada kutoka kwenu, mimi ni mwanafunzi ambaye ninatarajia kufanya mitihani ya PSPTB hapo mwakani mwez wa tano. Nimesikia pale buguruni kuna kituo kwa ajili ya review...
0 Reactions
3 Replies
949 Views
Swali linahusu ulaji wa mafuta kwa magari.Nimewahi kumsikia mtu anasema kila gari lenye CC chini ya 1500 hilo halili mafuta, so kwa watu wa chini watafute magari kama hayo akawa anataja magari...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
habar waheshimiwa natumain mko safi.... naomba kuuliza et ninapenda kusoma computer science sasa sijui ni comb gan A level nasitahili nisome ili nitimize malengo yang au kama kuna alternative ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Click/ the link below: http://www.bunge-alumni.or.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=62:launching-of-bunge-primary-alumni-association-website&catid=34:news?Itemid=18 Spread the word...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wanafunz hao wanadai kuwa mtihani hauna viwangi, cku ya kwanza wameingia kwany paper history 1, wanafik ndani wanapewa paper2, pia mtihani badal ya kuandikwa Like zone umeandkwa MWANZA REGION...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
mwanafunz m1 wa muce alitaka kujiua kwa kunywa sumu baada ya kutambu kuwa yule honey,laziz,kapeti,king'amuzi wake anamtandao wa mabwana kumbe hayupo peke yake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa anayeitwa au anaemfahamu SUNDAY LAMECK ambaye amemaliza kidato cha sita Jitegemee Secondary mwaka 2012 awasiliane hapa cheti chake kimeokotwa.
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Help me please
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013. Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008 Matokeo ya Mtihani wa Darasa la...
0 Reactions
1 Replies
16K Views
Nimeshangazwa na utaratibu wa hawa wajasiriamali wenye shule za majina ya watakatifu.Watoto wameachwa stendi leo na gari ya shule ya St.Hellen kwa kile kinachodaiwa hawajamaliza ada ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukisoma mtandao wa wizara ya elimu mpaka sasa utakuta taarifa ya katibu mkuu kuhusiana na madaraja na alama katika mitihani TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Naamini kila alichokiumba Mungu ni sahihi na kakiumba hivyo kwa sababu yake na Mungu hakufanya kosa hata kidogo, pamoja na ukweli huo bado wanadamu tumejifanya wajuaji, unakuta wadada wanajichubua...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
hapa kila kitu cha kugombea.lecture rooms tunabanana sana,hostel ni zile room tangu advance,na hazitoshi watu wanapanga mbali.
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Back
Top Bottom