Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ndugu wadau. Napenda kufahamu endapo mtumishi wa umma amepoteza salary slip anatakiwa aende wapi ili aweze kuipata tena kama ile iliyopotea au hata mbadala wake?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nataka kusoma diploma ya ict sijui ni chuo gani kinachofundisha vizuri. mimi nakalia dar.
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Habari wadau, How to calculate the quantities of ingredients of concrete(i.e cement,sand and aggregate) of known grade e.g grade c 20 (1:2:4) ,for 1cubic.m of concrete. Karibu kwa mchango wowote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakuu nahitaji kujuzwa hatua za kufuata ukipotelewa vyeti jinsi ya kuvifuatilia huko NECTA.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna yeyote aliepata kwa wale walioomba open kuanzia mwezi october kupitia center zao,( undergraduate)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wadau natafuta kitabu hiki kwa udi na uvumba mwenye msaada jamani ajitokeze. Educational planning and administration by .Emanuel BAbyegeye.the open university of tanzania fuculty of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mahitaji yako yote ya ushauri pamoja na uandishi wa kitaalam wa CV, miradi, business plan na professional letters kama transmital letter!!!!! Kwa bei nafuu kabisa tuwasiliane +255 766 909 880...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
madogo ambao wanatalajia kuja kuchagua mkwawa ili kuchukua degree ya education wajipange kwa msuli! but msosi kula mpaka unachia
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari njema kwa wanafunzi wa SUA wakati tukisheherekea kuwaaga dada na kaka zetu waliohitimu leo... Ni kwamba majina ya loan beneficeries yamebandikwa kwenye ubao wa matangazo pale Freedom...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kwa nini?assistance lecha hasa wa social science mnawapiga bit wadogo zetu kwamba lazima umkerishe koz wakiwa mwaka wa 3,tena unajisifu na kutaja list ya watu uliowakerisha ambao wamesoma...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
minaona wakati mwingine mtu unafanya maisha yakawa magumu mwenyewe, mtu unachagua education sua, ukija huku kwa semista unasoma cozi tisa natena nyingine hazina mahusisno kabisa na ualimu, baada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani kwa mwenye namba ya simu ya mkurugenzi wa bodi ya mikopo anisaidie niweze kufanya mawasiliano nae kupata confirmation, mwanzoni tunaripoti chuo tulipata rumours za kuongezewa ada lakini...
0 Reactions
4 Replies
864 Views
wale mliopata mkopo saivi i mean second year....taarifa katika chuo chako zikoje....hapa UDSM naona kimya hakuna taarifa yeyote
0 Reactions
5 Replies
2K Views
We help students from Tanzania and other African countries find admissions in the best affordable accredited international universities and academic institutions. We provide support in...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
naombeni mnitajie vyuo 5 bora hapa tz ambavyo viko serius na elimu
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wahadhiri Chuo cha Uhasibu Arusha wagoma WAHADHIRI wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) wamegoma kufundisha chuoni hapo kutokana na uongozi kushindwa kuwapa nyongeza ya mishahara yao iliyotolewa na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani management ya chuo cha uhasibu,vp kama hamtaki kutufanyia hiyo graduation basi tupeni hizo transcripts ze2 tunashindwa kupata kazi waajiri wengi hasa serikalini hawataki provisional result...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu watanzania katika hali isiyokua ikitegemewa,jwtz ambao ndio wamiliki wa shule hii sasa wanaua elimu kwa kasi kama ifuatavyo; 1.Huu mwezi wa pili walimu hawajalipwa mishahara yao ya octoba na...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
How do managers decide whether the cost is direct or indirect cost..... NAOMBENI MSAADA,NASOMA MANAGERIAL ACCOUNTING SEMESTER HII AFU NIMEKUTANA NA HYO...MSAADA WA POINTS TAFADHALI
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Leo,viongozi na wanachadema wafanya kikao cha kujadili maendeleo ya chama na jinsi ya kupambana na ufisadi mkuu katika taifa letu.Lakini pia katika kikao kilichofanywa na wanachama hao,WAUNGA...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Back
Top Bottom