Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habari yenu gr8t thinkers mimi nlichaguliwa SUA 4th round lakini baada ya kwenda kureport nkaambiwa deadline imeshapita,nkaamua kurudi nyumbani baada ya hapo kuna m2 akanambia inabidi nkareport...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
*CAREER SUPPORT SERVICES* DEAR SUPER APPLICANTS, HOW DO YOU GO ABOUT GETTING YOUR DREAM JOB? In the last ten years in Tanzania we have been involved in staff recruitment exercises and...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
* GUIDE to running a BUSINESS like a PROFESSIONAL* Hello, We hereby present to you our book manual (available in English & Swahili) named above, which is a well written guide to running a business...
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Embassy of Finland in Dar es Salaam Are you interested in Development work? Determined to work for positive social change? Want to study in an international atmosphere with people from all over...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wale ndugu zangu wa udsm natafuta wa kumuuzia kitanda mabibo hostel.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kusoma ni safari ndefu inayohitaji uvumulivu, nidhamu na kujitoa! Lakini mwishowe hayo yote huwa historia badala yake ni sherehe tu kama ilivyo siku ya leo kwa baadhi ya wanafunzi wa sekondari na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna huu unafiki wa wazazi kuwadanganya watoto wao eti wakati wanasoma wao walikuwa wanakuwa wa kwanza darasani, mimi wacha niwe mkweli, nilikuwa nashika nafasi za mkiani darasani nilipokuwa...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
ni week ya 3 sasa tangu majina ya waliokosea kujaza forms yametoka kua tutapata mkopo lakini sioni kama kuna ufatiliaji wowote ule, kila ukimuuliza loan officer wa hapa chuoni anadai pesa zetu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Baada ya muda wa kawaida tuliozoea wa kupokea mishahara yetu kupita hatimaye mshahara umeingia ila cha kushangaza ni kitu kimoja na ningeomba na walimu wengine mlitazame hili ili tuweke kumbukumbu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hadi sasa ni miezi kadhaa imepita toka semester ya masomo ya 2013/2014. Cha kusikitisha ni kuwa wanafunzi wa postgraduate (uzamili na uzamivu) katika chuo kikuu kimojawapo hapa Dodoma hatulipwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
baada ya kuulizwa swali hili nikaona bora nilete mbele yenu ili tilijadili kwa kina mie binafsi nimeshindwa.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau,kwa anayefahamu vipindi vya tbc1 anisaidie.hususani vile vilivyo na uhusiano na swala zima la kuchochea maendeleo kwa vijana.
0 Reactions
1 Replies
858 Views
anayefaham link ya falculties plz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyang’oro Indicted in Probe of Academic Fraud Julius Nyang’oro, one of the focal points of an academic scandal that spun off the NCAA’s investigation into UNC’s football program, was indicted...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Ni baada ya kumfanya jamaa mmoja wa bodaboda ,kurol,kucrawl na pushap sana,aliharibu kazi.,ambapo vjana walisema ni MATERIAL YA KIJESHI
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jaman kwa habari znazo zidi kuvuja inasemekana kuwa ajira mwaka huu itachelewa kidogo hadi mwezi Wa nne, Je kuna ukwel wowote wadau?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Mwaka wa 3 hamnipi mshahara wangu na nilitimiza vigezo kwenda masomoni na kila nikifika hapo kwa mkurugenzi makarani wanasema ataitwa afisa utumishi na Deo,Msitumie ubabe pasipostahili...
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Habari wana jf! Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili katika lugha, katika chuo kimojawapo nchini. Nafanya utafiti mdogo katika "Maasai Nominal Morphology"( kama hujui hii terminology...
1 Reactions
0 Replies
911 Views
Chuo cha utumishi wa umma tawi la Mtwara chasimamisha wanafunzi wake kimasomo kwa muda wa mwaka mmoja wakiwemo wawili waliokuwa semista ya mwisho kwa kosa la kukutwa na chabo ndani ya chumba cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pem
Kijana wangu anasomea masomo ya PEM: PHYSICS,ECONOMIS & MATHS. naomba ushauri itakapofikia kwenda Chuo ni masomo gani mazuri marketable akaspecilized? hasomii Tanznia yuku Uganda ila university...
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Back
Top Bottom