Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kama kuna Engineering student yeyote anayejua au ana wish kujifunza Solidworks ani PM coz sharing is Caring!!
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Katika hali inayoonyesha serikali ya ccm haina huruma na wananchi bali wanajijali wao tu ni pale mwanafunzi anakidhi vigezo vya kupata mkopo elimu ya juu na kunyimwa. Ki ukweli asilimia kubwa ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Samahanini sana kama niko sana nyuma litaarifa, ila kuna hili suala la kushushwa kwa viwango vya ufaulu, naamini wengi tulilisikia na kulifuatilia kwa karibu na kuliewewa, isipokua wengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sina maana mbaya, labda kwa ujinga wangu nataka kujulishwa tuu kwamba chuo kikuu dodoma wanatoa PhD? nifahamisheni waungwana...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana JF, Business as usual.. Nauza Vitabu kama ifuatavyo. Economics Econometria - Gujarati - Basic Econometrics Economics - Principles and Applications (2nd Edition) Entertainment Industry...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
wana jf. Nipo hapa katika chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastian kolowa (sekomu), leo kuna mahafali ya kwanza ya chuo tangu kuwa fully fledge university toka tuma makumira cha kushangaza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni miezi michache tu baada ya serikali kuingiza slogan ya Big result now (matokeo makubwa sasa) ktk ofisi zake za umma. Na sasa wameamua kuingiza ktk upande wa elimu ili kuondoa tatizo la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kipo pande gani dar hiki chuo
0 Reactions
5 Replies
5K Views
hizi kozi zipo tanzania na kama zipo ni vyuo gani vinatoa hizo kozi.?ni hayo tu wakuu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni chuo kipya na bora kabisa,kinachotoa digrii ya (i)medicine (ii)nursing....,location:maswa-simiyu kama unaelekea lalago..!wahi sasa.nafasi ni chache,vigezo:kama wewe ni form iv uwe na A/B-kwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hell below is a list of scholarships that may be useful to You! Enjoy the opportunities. Full Scholarships in UK for Students from African and Developing Countries Australian Awards...
6 Reactions
66 Replies
18K Views
Nipo hapa na watoto wa shule za kata, darasa la 4, mmoja anasimulia mkasa wa nyoka mrefu, anasema ana urefu wa siku moja, mwenzao mmoja akawa haelewi ndo urefu gani huo, akaambiwa kama sasa hivi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
NJOMBE DISTRICT DEVELOPMENT TRUST EDUCATION DEPARTMENT SHULE YA SEKONDARI MTWANGO...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu nasoma community development Naomba msaada kwa wana jamvi wenzangu juu ya tittle ya research ya kufanya...naomba kusaidiwa current issues ambazo zita niongoza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani JF nomba msaada kwa anyejua programming in c++. kuandika c++ code ambayo itatafuta all repated subsequence in a string once is found the subsequence will be replaced by zero,length of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hatimaye wanafunzi wa st.joseph university in tanzania dsm mwaka wa kwanza education wamegoma kuingia darasani kisa mpaka sasa hawajapewa boom la kwanza principal aweweseka na kuwaomba samahani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jaman hv matokeo ya form four yanatoka ln jaman?maana naona na uku nyumban nshachoka kukaa!au na ningepata kaz ata kwenye campuni yakusukuma huu mda uliobaki ningefurai xana..nisaidien wana jamvi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Leo nilikuwa benki nikimwekea ada ya mwanangu wa kwanza, anayesoma darasa la pili shule fulani ya kimataifa Dar. Nikiwa ninahangaika na mstari mrefu wa benki nikafikiria mambo mengi niliyokumbana...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Chuo kikuu cha St Augustine emeonyesha kuwa ni moja yapo ya chuo inaongozwa na viongozi wazembe sana. Tokea Dr Kitima ameondoka mwaka huu chuo inaonekane imepwaya sana na cha ajabu, mfano mzuri ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za mihangaiko ya kila siku...mimi nina degree ya sociology..mwaka wa 3 natafta kazi sijapata na nimeamua kujiajiri kimtindo japo mambo yana enda kwa kusua sua..sasa nilikua naplan za za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom