Natafuta kitabu ambacho kimeandika vema historia ya Tanzania matukio mbalimbali kuanzia ikiwa Tanganyik mpaka miaka ya 1990 yeyote mwenye kujua kitabu gani kina content hiyo anijuze niende...
Wanaforum salaam,
Civil Engineers na yeyote mwenye experience na hii career naomba mshare knowlegde,advice anythng kuhusu hii career na sisi future engineers....
.SHUKRAN.
mambo vipi wanajamvi naanza kwa kusema nimemaliza kidato cha nne (form four) mwaka 2010 so baada ya kujichanga changa hela kidogo nataka kujiendeleza chuo cha maendeleo ya jamii yaani community...
kwa style hii kamwe elimu ya kibongo haita zalisha wasomi/wataalamu wenye uwezo kufanya kazi aliyo somea kutokana kwamba mwanafunzi anasoma module zaidi ya 11 kwa semister na katika masomo hayo...
Hallo wana JF.
Mungu akinipigania Uhai nataka nikapambane na Adui Ujinga kwa Kuongeza Elimu mwakani 2014. Infact baada ya kumaliza Kidato cha Sita 2001, utamu wa kazi ulinifanya nikashindwa kuona...
hbr wana jf
hv majuzi nilibahatika kupata ruhusa ya siku mbili hv so nkaona bora niende chuo udsm nkachukue cheti changu bt niliyo yakuta ckuamini kama kweli udsm wanatoa huduma ya elimu au...
Sikuwah kufanya finance but namshukuru Mungu mafanikio nayaona na naona wazi hapo badae ntakuwa nani kutokana na kustik na ki2 kimoja masomo na cyo mapenz coz nalitaka joho ctak upuuz!
Habari ndugu zangu,
Kwanza atangulisha shukrani zang wenu, mimi n kijana niliyemaliza khidato cha 4 kibaya zaidi ni katika awamu hii ya Mulugo, shida yangu natafuta mahali pazuri nisome Kozi ya...
Wanajamvi mm n kijana wa miaka 24 kwa sasa,nimehtim kidato cha sita mwaka 2011 Mwanza sekondari mchepuo wa HKL.Matokeo yangu hayakuwa mazuri sana kwan nilipata div 4 ya pointi 18 kwa maana SSS kwa...
Mjomba kwenye miaka ya 70 alipata safari ya masomo nchini Urusi,kipindi hicho alikuwa na miaka 25 hivi,.akiwa kule alikuwa kila jpili anakwenda kwenye makanisa kuabudu mungu wake lkn alikuwa...
The faculty of law at St. Augustine University has built itself a name in the international arena through several continuous participation in the international moot court competitions, such as the...
Napenda kumshauri Mh. Rais kama atafanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri siku za usoni kufanya yafuatayo:
1. kupunguza ukubwa wa serikali yake kwa kuwa na wizara zifuatazo. wizara ya...
Wanajamvi naombeni msaada wa reseach proposal kwaajili ya shule ni muhimu sana ikiwesekana kabda ya tarehe 20/12 niwe nshaipa kwa soft copy nitashukuru sana kwa mchango wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.