TAHLISO sasa imepata mtu mchapakazi.kijana huyu ambae ni rais wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu Bugando CUHASSO.
Ameonesha uwezo mzuri wa kuongoza na kutetea maslahi ya wanafunzi muda mfupi...
Wakat nasoma chuo kikuu kimojawapo hapa nchini niligundua kuwa wengi wa wahitimu hupata GPA kali (za madesa) bila kuwa na utalaam wa kiwango husika kivitendo kama ambavyo wengi wao wamekuwa...
Jamani mimi mwalimu ndo nimetoka chuo nasubiri ajira ila kitaa kumechosha mbaya. Mwenye tetesi juu ya lini ajira zitatangazwa na wizara ya elimu jamani anijuze.
Heshima Zenu enyi wadau wa elimu na JF kwa ujumla.
Naomba contacts (simu/email) za shule zifuatazo;
1. Kizuka Secondary School-Morogoro.
2. Olaleni Secondary School-Kilimanjaro.
3. Cagliero...
wajumbe salamu kwenu.
nina mdogo wangu ambae ameitimu elimu ya A.level nchini Uganda mwaka huu.sasa mimi kama kaka yake ninapenda apate elimu yake ya juu nchini.
sasa ninaomba msaada kwa...
Wadau kwanza za saa hizi natumai niwazima.NINAMASHAKA KIDOGO KWA UPANDE WANGU KUHUSU CHUO nachosomea mambo ya INFORMATION TECHNOLOGY AND ENGEENERING
_naombeni mnisaidie JINSI gani naweza kutoka...
Ni karibia wiki y pili sasa ipite tangu tulipopashwa kupewa hilo boom .Ofisi ya loan board hapa chuo eti wametumiwa majina lkn bank pesa bado.Vyuo jirani tulivyotangulia kufungua semister wamepata...
Habari za jioni wadau wa jf, naomba kufahamishwa vyuo vinavyotoa mafunzo ya it ngazi ya cheti na stashahada. Nitafurahi mkinitajia vyuo vilivyo kanda ya ziwa na gharama za hizo couse kama hamtojali.
Mwanzoni wakati ninapangwa kuja kusoma hiki chuo nilijiona mwenye thamani sana ila cha ajabu sasa hivi ninatamani kukihama chuo! Jamani .....sio wote ambao tunasoma KAMPALA kwetu ni mambo safi...
....... When silence is broken.....!!!!!!!!!!!
A FAREWELL NOTE:
All the worlds a stage, and all the men and
women merely players: they have theirs exits
and entrances; and one man in his...
Bandugu zangu habari za weekend? Naomba msaada wenu katika hili, kuna mwanaSAUT alipata mkopo na kama ilivyo utaratibu wa sasa boom hutolewa kwa awamu,awamu ya kwanza alisign na...
Baada ya kusoma na Kujiridhisha na utaalamu wangu kuhusu Mambo ya Kiuhasibu na Ukaguzi wa Mahesabu,Nimeamua kuanzisha AUDITING FIRM.Naomba kujuzwa ni Kifungu gani cha Sheria kinachohitaji niwe na...
Kwa watu wadadisi wa mambo wa maendeleo ya Sayansi na Uhandisi wanasema "Nanotechnology" ndo taaluma ya juu kabisa kwa wakati huu duniani. Imeweza kubadiri sura ya tafiti za dunia ya kwanza na...
Habari wana JF
Leo kupitia vyombo vya habari ikiwemo clouds fm wamedokeza matokeo ya tume iliyoundwa na Waziri mkuu kuhusu matokeo mabaya ya kidato cha nne. Baadhi ya mapungufu yaliyobainishwa...
International Organization for Standardization, The Layers
Think of the seven layers as the assembly line in the computer. At each layer, certain things happen to the data that prepare it for the...
Wadau naomb msaada hapa kati ya mkadiriaji gharama za ujenzi n watu wa mipango miji ni wapi wanalipwa vzuri n je vp soko la ajira n kujiari n mwsho mazingara ya kazi(uzur)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.