Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Food engineer anaanza na mshahara upi akimaliza digrii ya kwanza?
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Helo! Is you have knowledge on uses, types of tenses and its parts since you studied in standard six at primary school? Let us talk on it by answering these questions; 1.What is tenses? 2.Mention...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mizimu ya mkwawa iliwapanda wanafunzi wa mkwawa university baada ya kuchelewa kutupia boom! na kuamua kuweka tanganzo la kuweka maandamano ya kudai boom! lkn faster wakaliachia mambo poa kwa sasa!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana Jf, naomba msaada wa orodha ya topic za HISTORY II,ambazo zinatakiwa kusomwa A-LEVEL,coz hapa mpaka nachanganyikiwa! nisaidieni ndugu zanguni!
0 Reactions
10 Replies
4K Views
"DUE TO ONGOING SCIENCE AND TECHNOLOGY, (ADVANCEMENT IN SCIENCE AND TECHNOLOGY), THEORIES OF LEARNING ARE USELESS IN CLASSES". HOW FAR IS THIS STATEMENT CORRECT? Nimejaribu kufikiria sana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapendwa nahitaji jina la shule bora ya kiislamu kwa ajili ya mtoto wangu wa kike. Iwe katika mkoa wa Dar au Pwani. Natanguliza shukrani. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
2012 udsm ilitimiza miaka hamsini kama university lakini cha kusikitisha ni kwamba mazingira ya ku acquire elimu ni magumu sana yaliyojaa changamoto, 1. mic kwenye lecture rooms ni mbovu, zina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wana JF Hali za ajira, promoshen na utofauti wa mishahara ni majanga katika vyuo vya ualimu..... Mtu ameanza kazi mwaka jana anamzidi mshahara mfanyakazi wa miaka 10 iliyopita!! Back...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jaman wadau naomba kujua kaz ya dean of student chuon
0 Reactions
2 Replies
962 Views
UDSM wale wa mature age entry wanapatikanaje? Nina miaka.42, credit.6 O.level na cheti cha journalism, naweza kusoma law? Pia nina dipl. niliyoipata London School of Journalism through distance...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
​Naomba msaada kwa wasomi wa finance mimi nasoma business administration kuna option imekuja ya kuchagua course na nimechagua finance as a major course na minor course nimepewa option mbili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Za leooo WADAU WA JF Kwa uzoefu na ufahamu wenu naomba mnisaidie kuniambia ,kuelezea au kunitajia vyuo ama chuo kikuu mashuhuri na kizuri kinachotambulika na serikali ya TZ na dunia nzima kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
They will be out today afternoon or next Friday in the afternoon. What is your view?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu! wadau nahitaji vitabu (study material) ya FR & IF kwa maandalizi ya Mitihani ya NBAA May 2014. kwa yeyoyete anaefahamu ntapataje tafadhali nijulishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hahari za kuaminika kutoka vyuo tajwa hapo juu,vijana wamechoshwa na ukata unaowakumba toka wameanza mwaka mpya wa masomo,vjana hawa wamekuwa wakitaka kujua hyo loanboard maana yake nn kwani...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wadau naskia kuna vikao vinaendelea NBAA kuangalia uwezekano wa kutokwepo Module E mwezi May 2014..Hii ni ili kupisha wale wenye vimeo vyao wapate ku clear na kuwaanda watu na new syllabus...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
nipo mwenye ushauri au tatizo tell me........... modern teacher
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Wadau naomba msaada kwa mwenye softcopy au hardcopy za madesa ya teaching methods of economics and business au mwenye kitabu hiki (Kerich, W. (1990). Educational Communication and Technology...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani inawezekana si mimi peke yangu ambae hatufahamu juu ya historia ya mti wa x-mass na mapambo yake! Kama wewe unaufahamu mzuri naomba niweke sawa. Nakama ukiongezea elimu ya ile sikukuu ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wengi mnajua maana ya neno DESHI.Ikimaanisha kwa Hapa chuo mtu anakua hapati milo mitatu kwa siku.Hali hii Imeonekana kwa mimi kuongea na mama muuza mmoja akasema wateja wengi wanakula...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom