Rejea kichwa hapo juu, kama wewe ni mwalimu uliyemaliza Diploma ama Degree ya moja ya somo tajwa hapo juu, kuna kazi ya kufundisha Chuo cha Ualimu, Grade A. Wilaya ya Mufindi- Mafinga mjini na ni...
Habari zenu wapendwa, mimi ni kijana mwenzenu, kutokana na changamoto mbali mbali za maisha nimekuwa nikisoma kwa kuunga unga flani, na nimefanikiwa kiasi, kwan kwa sasa ninachukua degree ya...
Wanafunzi wa udom wanalalama kutokupata boom lao hadi leo na hawajui hatma yao nn...jaman waziri wa mikopo hasa college ya education sikia kilio cha watu wako.
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome...
Are You Tech & Science enthusiast? You have infinity ambitions on Tech & Science,Right ? But how to reach to Infinity(Ooop!! no NASA'S help).Worry no More,we also work at Infinity and we give...
... kama unaweza kunisaidia ile barua kutoka kwa sponsor, yaani "scholarship acceptance letter" kuna mission nataka kuifanya, so kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kuipata ya kwake ntashukuru...
Katika vyuo 100 bora Afrika kwa mwaka huu 2013 University of Dar es Salaam wamechukua nafasi ya 6 na kuanzia hapo mpaka namba 98 kuna Hubert Kariuki Memorial na hakuna chuo kingine cha...
Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa marafki woote waliohusika kwa namna moja au nyingine kunisaidia katika harakati zangu za kujiunga na chuo,toka kipindi cha tcu, heslb na mpaka sasa 2nd year...
Ninashahada ya elimu ' upper second class', malengo yangu ni kujiunga na masomo ya post graduate diploma in procurement and supply au procurement and logistics pale NIT ingawa hadi sasa sijui...
Haya kwa wale tu walioenda shule za udereva wa ukweli sio unafundishwa asbh huku tayari leseni ushaletewa nyumbani. Kwa picha ya hapo chini ni Gari lipi litakuwa la mwisho kupita A, B au C? Toa...
When the god's shall speak,beggars will get the rare opportunity to smile,for they will no longer live on the sideline of humanity as lesser beings,
Desperate job seekers will cease to hear the...
NAWAPONGEZA WADAU WOTE WALIOPATA DARAJA LA JUU LA UHASIBU(CPA)
S/N NUMBER FULL NAME
1 12019100 FRANK ABEL
2 9015507 AMU ADAM
3 12015501 VERONICA ADAM
4 12018140 STEVEN ALBERTO
5 9009992 ROBERT M...
wadau naomba mnijuze,ni lini tutatangaziwa shule wanazoenda watoto wetu wanaotarajia kuanza sekondari?mtoto wangu amepata b masomo yote,na ana avarege b,je hiyo itamuwezesha kupata shule nzuri?
Habari zenyu? naomba mwenye matokeo ya TPSC(Tanzania Public Service College) anisaidie nimejaribu kufungua kwenye web yao lakini hayafunguki. plz!!!!!!!!!!!!!
kwa mujibu wa gazeti la habari leo,naib wazir tamisemi anayeshughulikia elimu kassim majaliwa juz ametangaza ajira 26000 za walimu watakazomwagiwa walimu mwez januari mwakani. wakat huo huo mulugo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.