Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ. 1.Wahaya. 2.Wakerewe Tiririka na wewe
2 Reactions
85 Replies
23K Views
Ni kutokana na wanafunzi hao kutopata pesa zao za kujikimu kutoka bodi ya mikopo.wanafunzi hao Hasa wa mwaka wa Pili ambao toka waanze semester hawajapata mikopo yao.hiv sasa wanaishi kwa neema...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mm ni mwanafunzi ktk chuo kimoja wapo kilicho chini ya wizara ya maliasili na utalii na 23 -dec-2013 matokeo yalitolewa bila kupitishwa na bodi ya chuo. sababu iliyopelekea matokeo hayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalimbali vya kuelimisha pamoja na vile vinavyo ruhusu watazamaji kuchangia kwa kuoiga simu Kero yangu ni kuwa; kUtumia simu moja kupokea wakati una watazamaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu matokeo ya CPA inasemekana yatatoka kesho mchana. Kwa kuwa kawaida yanatakiwa yatoke alhamisi ama ijumaa ya wiki ya mwisho lakini habari za ndani zinasema yatatoka leo kwa kuwa taratibu zote...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Msaaada kutokana na ongezeko la mshahara mwalimu wa degree science anaanza na pesa ngapi??
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu walimu waliomaliza masomo yao na kutopangiwa vituo vya kazi kuwa muda wa kufanya hivyo bado. Akizungumza...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hi,wadau,kama inakuhusu basi mda wake umefikaa,tokeo lipo limejaa tele kwenye website news...ALL THE BEST,MUNGU AWATANGULIE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu Tafadhari kwa mtu yeyote anayehitaji msaada katika hayo niliyoytaja hapo juu asisite kuwasiliana nasi tutampatia msaada bure. tutatoa ushauri kuanzia hatua za awali za kuandaa...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Guys nimekua nikisikia habari za samaki mtu tokea nikiwa mdogo nikawa interested kujua ukweli, nimefatilia lkn jibu sahihi kama duniani kuna kiumbe wa aina hio bado ni utata mtupu.. Naomba...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naomba muongo zo wa kuandika barua za kuomba kubadilishana kituo cha kaz mkoa to mkoa mie ni mwl wa sec.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
hivi vibali vya uhamisho januari hua vinatoka lini?
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Wadau wa JF wale ambao mmepitia vyuo vikuu vya nchi hii,hivi huu ukiritimba unaofanywa na vyuo vikuu almost vyote vya nchii hii katika kutoa vyeti pindi umalizapo chuo umekosa dawa kabisa!maana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikwanini Nelson Mandela aliwasamehe white people (Boers) baada ya kupata uhuru ikiwa wali watesa na kuwanyanyasa sana.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Eti kwa mfano mtu unataka kuwa rubani na hali ya kimaisha hairuhusu, lakini duluhisho lipo la kupitia jeshini ili kupata mafunzo, inakuaje? Je unajiunga moja kwa moja na kikosi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Achilia mbali CISA, CPA..etc, Je kuna certification nyingne yoyote ambayo watu wa Education wanaweza kusoma, ambayo inarelate na maswala ya Elimu?
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Kijana Shadrack kifaru ana shida kubwa kwa sasa wazazi aliokuwa akiwategemea kwa ajili ya kumsomesha wapo hoi kwa maradhi wote kwa pamoja mama yake mpaka sasa amelazwa muhimbili mwezi wa tatu...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Habari wanaJF mm nataka kuanza kusoma Certificate in account naomba mnisaidie
0 Reactions
0 Replies
888 Views
mpaka sasa hamna kinachoendelea
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The Mwalimu Nyerere Memorial Academy. This college is highly and sporadically coming up at a high speed and soon it will be in the world calender of universities. GIVE IT EVERY SUPPORT THAT YOU...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom