Below is a list of scholarships that may be useful to you
Enjoy them and feel free to ask for Information and i will help to the best of my knowledge.
2014 Fraser Institute International Essay...
Heshima mbele GT's!
Kuna jamaa yangu kapata admission offer kusoma PhD in Education huko Bondeni kwa Late Madiba - UWC. Bahati mbaya chuo hiki hawana Scholarship kwa International Students. Sasa...
Salaam Wanajamvi!
Wengi wetu tulitumia na tunaendelea kutumia hizi Memory-Aiding Devices
(mnemonics) kwa ajili ya kusaidia kukumbuka haraka long lists of numbers or objects in the correct...
Habarin wana jukwaa, naomba kuuliza, niliwahi kuchaguliwa 2010 kujiunga na chuo cha ifm na mkopo nilipata kwa bahat mbaya nikawa nasumbuliwa kiafya so nikashindwa kwenda chuon na wala sikutoa...
wakuu naomba majbu ya mambo haya, 1.mtu aliyesoma PCB anaweza kuchaguliwa kusoma engineering kama civil,mining,chemical ,software,computer na IT.? 2.Aliyesoma CBG au CBA anaweza somea doctor...
Nikiwa nimejiunga UDSM mwaka huu kwa ajili ya kuongeza Elimu toka nimeingia hapa mtu ukibanwa na haja inabidi ujifikirie mara mbili ama uende porini (Hasa Pori lile la Kuelekea Changanyikeni au...
Watanzania wenzangu,
Nimeishuhudia hii katika vyombo vya habari viongozi wakikabidhi bendera ya Taifa kwa vijana wa 'The Tanzanite', wanaotegemewa kusafiri leo kwenda kwa hayati mzee Madiba kwa...
1. Kwanini samaki anaweza kupumua akiwa ndani ya maji, lakini nchi kavu anakufa?
2. Oksijeni inaingiaje ndani ya maji na hali ya kuwa oksijeni ni nyepesi kuliko maji? (density ya oksijeni...
Hiv kwa mtu anayeanza ajira ya ualimu kwa level ya degree anauwezo wa kuchukua mkopo benk baada ya mda gani na kiwango cha mwisho anachotakiwa kupewa mkopo ni sh ngap?Ukilinganisha na mshahara...
Nimepewa swali hili,
"With the help of examples, give an account on the introduction of laws to prevent forms from exploiting peoples ignorance in Tanzania."
Any ideas!?
Wadau wa jukwaa hili poleni,ndugu walimu hebu nijuzenu topics za Geography form Four ni zipi?
Na History ni zipi?Naomba mwenye syllabus za masomo hayo aniorodheshee Tafadhari.
Mungu awabariki.
Wana jf kuna kituko nimekutana nacho leo hii ingefaa mnijuze kama na nyie mnakutana nacho na pia tushauriane kuhusu dawa ya jambo husika. Ishu ni kuwa mwanangu anasoma darasa la pili shule binafsi...
Ndg wana jf niko hapa kujaribu kuwashauri kama mna ndg wanaotarajia kuingia chuo wasijaribu wala kuthubutu kujaribu ku apply Chuo Kikuu Cha Iringa zamani TUMAINI,sababu ni chuo kilichoweka PESAa...
Nimejaribu kujaza upya form ya kukata rufaa maombi ya mkopo-HESLB,ajabu personal information zinakuja lakini sipati 'option' ya kuniruhusu kujaza maelezo mengine kama ilivyoelekezwa ktk tangazo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.