Wanajamvi naomba kwa mwenye taarifa anijulishe ni lini UDOM watatangaza nafasi za kazi kwa upande wa teaching staff? ninashauku sana ya kulitumikia taifa langu katika kazi hii
Groups are smarter with women, MIT research shows
By Adrienne Burke | Profit Minded Wed, Nov 27, 2013 4:40 PM EST
Email
55
Print
If you want to create a team...
Wakuu,mim ni mwalimu wa sekondari,nafundisha masomo ya sayansi,naomba mnisaidie niweze kuhama toka Wilaya ya Rombo kwenda Wilaya ya Hai--kilimanjaro ambapo familia yangu ipo...nimehangaika...
Kwa wale tuliosoma Galanos A level miaka tajwa hapo juu, naomba mwenye taarifa za watu wafuatao wani pm na ikiwezekana nipate contacts zao
Shumbi Jackson, alikuwa Prefect mpole sana. Alimaliza...
SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WAKAZI WA
MWANZA
Napenda kuwafahamisha kwamba CPM
Business Consultants, yenye makao makuu
jijini Dar es salaam, ikishirikiana na
Tuwafikie Tanzania tawi la Mwanza...
Ndugu zanguni, hizi masters na PhD za SUA kwa kweli inakuwa ni mateso kwa wasomaji yaan course duration mfano kwa masters degree ni miaka miwili lakin imekuwa ni suala la kawaida kwa mtu kutumia...
kwa wale wanaotaka kupunguziwa picha kwa ajiri ya usajiri wa necta form four, kwa vipimo vya necta kwa bei chee wanitafute kwa kuni PM au kwa e mail info@shuleni.org
Kwanza napenda kuwapa pole wale wote mliochaguliwa 4th round kwenda vyuo ,hii ni kutokana na TCU Kuwapangia tarehe ya kuripoti vyuoni wakati registration deadline imepita,hivyo kuwapotezea mda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.